Inajengwa

Ni kifaa gani unataka kukiendesha?

 • Je, unapenda uwezo wa kusimamia taa zako kwa njia ya kisasa nyumbani kwako - TIS

  TAA

  CHAGUA na TEUA

  Utajua ni zipi zitakufaa kwa kuchagua aina ya taa ambazo vifaa vyetu vya kisasa vitaziwasha. Kwa mfano, LED (inayoweza kupunguzwa mwanga na isiyoweza kupunguzwa), CFL, taa za kumetameta za kuning’inia (chandeliers), taa za kumulika eneo moja (spotlights), taa za balbu (incandescent), na taa za mwanga asili (ambient).

 • Je, unapenda kusimamia mfumo wako wa kiyoyozi ndani ya nyumba yako ya kisasa? – TIS

  HALI YA HEWA

  Je, unahangaika kugundua kifaa gani cha kusimamia kiyoyozi chako au vifaa vya kuongeza joto? Jifunze zaidi hapa na uchague kifaa cha kisasa cha udhibiti kinachoendana na aina ya kiyoyozi kilichopo nyumbani kwako.

  Kwa mfano, FCU/VAV/HVAC, SPLIT AC, FLOOR HEATING, VRV, or FAN.

 • Je, unapenda kuendesha mapazia ndani ya nyumba yako – TIS

  MTAMBO WA KUZUNGUKA

  Fanya mapazia yako yaendeshwe na mtambo wa kuzunguka.

  Chagua aina ya mapazia uliyonayo na upate kifaa sahihi cha kusimamia.

 • Je, unapenda kusimamia mfumo wa A/V katika nyumba yako ya kisasa – TIS

  UDHIBITI WA AV

  Ongeza furaha yako unapo angalia filamu au kusikiliza muziki.

  Bidhaa bora kwa ajili ya usimamizi wa muziki na TV.

 • Je, unapenda kusimamia mawasiliano ya nyumbani kwako - TIS

  INTERCOM

  Tuma salamu kwa watu waliopo nje.

  Chagua mfumo wa mawasiliano na uboreshe ulinzi wa nyumbani kwako.

 • KUZIMA/KUWASHA taa

  WASHA/ZIMA

 • Kupunguza mwanga wa taa

  Kupunguza

 • Kubadilisha Rangi za taa

  Rangi

 • HV LEDs,CFL

 • Incandecent

 • Ballast

 • Ni balbu ngapi zipo katika chaneli ya taa?

  Ni balbu ngapi zipo katika chaneli ya taa?

 • Thermostat ya ukutani, kiyoyozi cha mfereji

  FCU/HVAC/VAV

 • Kiyoyozi

  Kiyoyozi cha Kawaida

 • Kifaa cha joto sakafuni

  Kuongeza Joto la Sakafu

 • Mfumo wa VRV AC

  VRV

 • Feni ya juu

  FENI

 • Aina ya pazia

  Mapazia

 • Aina ya viringisho au aina ya Roman

  Roller

 • Kinyanyua Projector

  Projector lift

 • Vifunika mwanga

  Shutter

 • Usimamizi wa vifaa vya Sinema ya Nyumbani

  Vifaa vya Infrared vya TV/DVD

 • Usimamizi wa Sauti

  Amplfire player

  • Nyumba / Jumba kubwa

   Mradi wa Nyumba

  • Jengo / Ghorofa

   Jengo

  You can use one of the following thermostats

  Bidhaa yoyote kati ya hizi zifuatazo inaweza kuendana na nyumba yako.