Uokoaji wa Umeme Kabambe ndani ya Misikiti na TIS Technology

Kila siku kuna swala 5 muhimu kwa Waislamu kumuomba mwenyezi Mungu, na Waislamu wengi wanakutana misikitini kwa ajili ya swala hizi. Kwa sababu ni nyumba ya Mungu, msikiti unatakiwa uwe na hali ya hewa safi na tayari kwa ajili ya swala. Lakini, kiuhalisia, kufanya hivi kunaweza kuwa na gharama kubwa kwenye bajeti ya msikiti na kwa mazingira kiujumla.

Misikiti mingi ina kiyoyozi cha ukutani kama mfumo wake mkubwa kiyoyozi, michache sana ina mfumo wa FCU. Kitu kimoja kinachofanana kati ya misikiti hii yote, mfumo wa kiyoyozi unakuwa unawaka kuanzia asubuhi mpaka jioni sana. Jambo hili linaonekana sana haswa katika maeneo yenye joto kama nchi za Ghuba, Afrika ya Kaskazini, India, na Kusini-Mashariki mwa Asia.

Matumizi ya umeme katika msikiti ni jambo linaloangaliwa zaidi katika vifaa vya Kujiendesha vyenyewe vya TIS

Ifuatayo ni ratiba ya kila siku ya mida ya kuswali swala za asubuhu za Duhr, Asr, Maghrib na Isha katika mji uliopo mashariki ya kati:

11 – 12 asubuhi

6 – 7 mchana

9 – 10 mchana

11 – 12 jioni

1 – 2 usiku

Kama inavyoonekana, misikiti inakuwa tupu kwa karibu masaa 6 kabla ya saa sita mchana na kwa masaa 4 mchana. Wakati huo, jumla ya masaa watu wanayokuwa ndani kuanzia Maghrib mpaka muda wa Isha na kuanzia Athan(swala inapoitwa) mpaka Eghamat (muda wa kufanya swala) ni takribani masaa 6.

Kwa ujumla, kuna zaidi ya masaa 10 ambapo kuna upotevu wa nishati kwenye viyoyozi vilivyowashwa, taa na feni za juu kuanzia Fajr mpaka Isha. Muda huu unaweza kuongezeka zaidi kwa masaa mengine 9 kama msimamizi akisahau kuzima swichi za kiyoyozi na taa usiku. Hebu fikiria ni kiwango cha nishati kiasi gani inapotea kila mwezi au kila mwaka? Ni kiwango kikubwa sana!

Hata hivyo, kutumia mifumo ya uangalizi wa nishati ndani ya msikiti ili kuongeza ufanisi ni kazi ngumu kwa sababu zifuatazo:

  • 1- Mida ya swala inabadilika kila siku, na inatofautiana sana (karibia saa 1 kwa baadhi ya nchi) kipindi cha baridi kali na kiangazi.
  • 2- Kuendesha mfumo wa kiyoyozi kipindi cha kiangazi na kipindi cha baridi kali haikuwa sawa kila mahali; baadhi ya nchi hazitumii kiyoyozi kabisa.
  • 3- Kufunga nyaya upya katika jengo haiwezekani au haiwezi kufanyika kwa ufanisi.

TIS’s range of high performance products makes energy control easy and convenient. Our WIFI Infrared Emitter is a smart module for controlling AC systems in the most efficient way. This Emitter functions with 110/220V and is compatible with all AC brands worldwide, including LG, Trane, Media, Samsung, etc. Its smart logics are capable of identifying the general date, time, season, as well as the specific prayer times. In addition, TIS engineers have designed high-tech WIFI wall thermostats with the same options and functions that can replace old thermostats. FCU, lighting, and fan systems can also be controlled wirelessly by our ADS WIFI Relay.

Msikiti unafaa kuwa wa kijani na wa kisasa katika nchi zote kwa kusaidiwa na TIS

Hivi ndivyo namna TIS inaweza kusaidia misikiti kuokoa utumiaji wa nishati:

  • 1- Mfumo wa kiyoyozi utawashwa/kuzimwa inapohitajika nusu saa kabla/baada ya Fajr na swala za asubuhi. Hilo litafanywa pia kwa swala za Duhr, Asr, Maghrib na Isha.
  • 2- Nusu ya mfumo wa kiyoyozi utakuwa umezimwa katikati ya muda wa Maghreb na Isha.
  • 3- Mfumo wa kiyoyozi utakuwa umezimwa saa 1 baada ya swala ya mwisho na kabla ya msikiti kufungwa.
  • 4- Ta azote na feni za juu ya dari zitakuwa zimezimwa baada ya Isha na baada ya Fajar. Pia, muda kati ya Duhr na Maghrib, nus utu ya taa na feni za juu ya dari zitakuwa zimewashwa.
  • 5- Siku za Ijumaa wakati muda wa kuswali unakuwa ni mrefu, mfumo wa kiyoyozi utawaka kwa muda mrefu zaidi, na pia mfumo utawasha feni za juu katika kasi yakufaa.
  • 6- Vifaa vya TIS havikuzuii kuwasha na kuendesha vifaa vya kiyoyozi, taa au feni za juu ya dari. Unaweza kutumia swichi za ukutani pale utakapohitaji. Vifaa vyetu vya kisasa vinashirikiana na vingine kusaidia usimamiaji na uendeshaji.

Mwezi wa pili wa mwaka 2019, TIS itaanza kampeni Misikiti ya Kisasa ambayo misikiti 100 itafungiwa na mfumo huu wa kisasa bure. Lengo la kampeni ni kuongeza utunzaji wa nishati kwa nchi zinazoendelea na kushinikiza serikali kugundua umuhimu wa sera za kuhifadhi nishati. Tunapendelea kuendeleza hatua za kusaidia kuhifadhi dunia.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK