Kihisio cha Mlango / Dirisha
Nyumba inayojilinda
Inayokuwezesha kujua mlango au dirisha lako likifunguliwa.
Kimetengenezwa kuboresha mfumo wako wa ulinzi
na kukupa taarifa unapovamiwa.
Rahisi Kufunga:
Hakuna waya unaohitajika. Igundishe tu na uanze kutumia.
Sitisha ulinzi wake kwa kubonyeza kitufe cha kuisitisha.
Ili umruhusu mtoto wako aingie ndani baada ya siku ndefu shuleni bila kifaa kupiga king’ora.
Tazama nyumba yako,
au wajulishe wanafamilia yako kama mlango au dirisha limefunguliwa kwa kutumia app ya TIS.
Chagua mpangilio wa ulinzi unaoutaka,
na kisha utoke na kwenda popote unapotaka kwa muda wowote. Utakuwa na mlinzi wako wa kidigitali mlangoni.
Furahia usimamiaji muda wote
kwa kukiweka maeneo nyeti ya nyumba yako, ofisini, katika gereji n.k.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha