Mfululizo waTIS Terre – kwa ajili ya majumba na mahoteli Mfululizo waTIS Terre – kwa ajili ya majumba na mahoteli

Matokeo makubwa huwa yanatokea kwenye vitu vidogo.

TIS inakuletea kwako TERRE SERIES ambayo zinakuja katika aina 3:

TERRE MUSIC, TERRE 4 GANG LIGHT SWITCH, TERRE AC

Mlolongo wa vifaa vya Tere unahusisha panel za ukutani pamoja na sockets, zinapatikana zikiwa zimefunikwa na plastiki, mbao, ngozi, mawe au chuma. Zinapatikana pia zikiwa na button touch panel interface, thermostat touch panel, music touch panel, hotel service touch panel, 1 gang switch, 2 gang switch, and bell switch. Available with the following sockets: EU power, Universal power, USB, Speaker connector, Telephone, TV male/female, Data, LEd Indicator, na blank plate. Panel ya Terre imetengenezwa kuingia kwenye maboksi yanayotumia viwago vya Uingereza na Ulaya.

  • Taa

  • Vizuia mwanga

  • Mandari

  • Gusa

  • Android

  • IOS

  BLACK

  UPC 658921798027

  EAN 0658921798027

  BARCODE (UPC)

  TIS Terre 4 gangs
  • Taa

  • Vizuia mwanga

  • Mandari

  • Gusa

  • Android

  • IOS

  BLACK

  UPC 658921798089

  EAN 0658921798089

  BARCODE (UPC)

  • Taa

  • Vizuia mwanga

  • Mandari

  • Gusa

  • Android

  • IOS

  BLACK

  UPC 658921798034

  EAN 0658921798034

  BARCODE (UPC)

  TIS Terre AC
  • Taa

  • Vizuia mwanga

  • Mandari

  • Gusa

  • Android

  • IOS

  BLACK

  UPC 658921798041

  EAN 0658921798041

  BARCODE (UPC)

  TIS Terre Audio
-->
RGB LED indicator for Terre touch button – TIS RGB LED indicator for Terre touch button – TIS

Swichi katika mlolongo wa TIS Terre

Kitufe cha mwanga wa bluu mpauko kinatoa mwonekano bora kabisa.

Match with Terre sockets , same elegant design Match with Terre sockets , same elegant design

Bidhaa bora zinakuja katika miundo yote.

Vifaa vya kwenye mlolongo wa Terre vinakazi zaidi ya moja. Vinaweza kutumika kama swichi, kwa ajili ya sockets na pia kama skrini ya kugusa na kidole.

TIS Terre series inspired by earth TIS Terre series inspired by earth

Tunakuletea uzuri wa mazingira asili ya dunia nyumbani kwako.

Mifuniko ya juu ya vifaa vya kwenye mlolongo wa Terre imeshinikizwa na Dunia.

Wired and Wireless smart home Wired and Wireless smart home Wired and Wireless smart home Wired and Wireless smart home
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Control you AC by Terre thermostat – TIS smart home Control you AC by Terre thermostat – TIS smart home

Kusimamia joto la ndani kupo karibu yako.

Terre AC thermostat inasimamia joto la kiyoyozi chako nyumbani.

Terre audio, control your music- TIS smart home automation Terre audio, control your music- TIS smart home automation

Acha muziki uendelee kucheza ukiwa na TIS SMARTHOME.

Tunaleta kwako Terre Audio music.

Alexa amazon skills by TIS Alexa amazon skills by TIS
Alexa, play music in the gym.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

TIS terre installed in wall, small and elegant TIS terre installed in wall, small and elegant

Ndogo lakini inakaa kwa ufahari. Kamwe hatupunguzi uzuri wa muonekano hata kama bidhaa ina umbo dogo.

Mlolongo wa Terre unakuja na rangi tofauti tofauti na aina tofauti pia za namna mfuniko wa juu ulivyomaliziwa ambayo itafanya ikae na kupendeza katika mazingira yoyote ya ndani.

TIS Terre can connect to different type of controllers TIS Terre can connect to different type of controllers

Kinatosha sehemu zote.

Kila kitu unachokihitaji ndani ya kifaa kimoja.

Panel inakuja katika aina 5 tofauti ili kutumika na aina yoyote ya chanzo cha umeme.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK