Energy Servant - kihisio chenye sifa 10 Energy Servant - kihisio chenye sifa 10

JARIBU BIDHAA HII RAFIKI MKUBWA WA KUOKOA UMEME.

INA KAZI 10 AMBAZO ZINA FAIDA KWA MAISHA YETU YA KILA SIKU.

AIR Energy Servant Sensor

AIR-ES-IR ni kihisio cha mwendo cha aina ya PIR chenye emitters za nyuzi 180. Pia ina logic lines 32 zinazopatikana, ambazo zinaruhusu kuunganishwa na vifaa vingine. Logic yake ina uwezo wa kuokoa umeme kwa kudhibiti hali ya hewa na kuhakikisha matumizi fanisi ya mfumo unapohitajika.

  • Kihisio chenye Wifi

  • Uwezo wa kuangalia Taa

  • Uvunaji wa Mwanga

  • Kihisio cha Mwendo

  • Kihisio cha Joto

  • Ripoti ya Umeme

  • Kalenda

  • Ratiba

  • Uangaliaji wa Kiyoyozi

  • App za Android

  • App za Ios

  WHITE

  UPC 658921796559

  EAN 0658921796559

  BARCODE (UPC)

  Wifi - pir , kihisio cha mwendo, wingi wa mwanga na uwezo wa kusimamia kwa infrared
Teknolojia ndani ya Energy Servant kutoka TIS Teknolojia ndani ya Energy Servant kutoka TIS

TAZAMA NINI KILICHOPO NDANI YA UBONGO WA KIFAA CHETU CHA 10 AIR SENSOR.

Simamia AC yako ukiwa mahali popote na muda wowote – TIS Simamia AC yako ukiwa mahali popote na muda wowote – TIS

BIDHAA ZINAZOWEZA KUFANYA KAZI TOFAUTI NDANI YA NYUMBA.

UNAWEZA KUPATA KILA KITU NDANI YA BIDHAA MOJA.

MWENZAKO KATIKA NAMNA ZOTE.

WEKA MIPANGILIO KATIKA SAA KWA AJILI YA UANGALIZI WA KIYOYOZI.

WEKA PROGRAMU KATIKA KIYOYOZI IWE NA JOTO UNALOLITAKA.

Taa zinatumia umeme mwingi sana, na kawaida huwa hazihitajiki wakati wa mchana.

Kusimamia vifaa vyako vya kujiendesha nyumbani kwa kutoa Amri kwa Sauti Kusimamia vifaa vyako vya kujiendesha nyumbani kwa kutoa Amri kwa Sauti
Alexa, turn on the AC in Sophia's room.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Okoa nishati ya umeme kwa kutumia mfumo wetu wa kisasa kutoka TIS usiotumia nyaya Okoa nishati ya umeme kwa kutumia mfumo wetu wa kisasa kutoka TIS usiotumia nyaya Okoa nishati ya umeme kwa kutumia mfumo wetu wa kisasa kutoka TIS usiotumia nyaya Okoa nishati ya umeme kwa kutumia mfumo wetu wa kisasa kutoka TIS usiotumia nyaya
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Utajulishwa kwa taarifa kama chumba kina joto kubwa, kiangalizi cha afya cha kisasa - TIS Utajulishwa kwa taarifa kama chumba kina joto kubwa, kiangalizi cha afya cha kisasa - TIS

Jisikie mustarehe kwenye nyumba ambayo inahali ya hewa nzuri.

Amani kwa kila mzazi anapotazama kiwango cha joto na usalama wa chumba cha mtoto muda wote.

Usijizuie matumizi yako. Achia TIS ikusaidie kuokoa.

Hatutoi teknolojia hii ya kisasa tu pekee; tunatoa pia bidhaa za kuokoa pia.

Unataka kujua kivipi?

Mfumo wetu janja unaweza kuwekewa programu na kugundua kama hakuna mtu katika chumba na kisha kuzima taa pamoja na kiyoyozi ndani ya chumba hicho moja kwa moja wenyewe. Hii ni moja ya njia bora ya kuokoa umeme na gharama za matumizi.

Chagua kile kilicho bora kwako na kwa familia yako: TIS.

Okoa gharama za matumizi kwa kutumia kifaa chetu TIS cha kisasa Energy servant Okoa gharama za matumizi kwa kutumia kifaa chetu TIS cha kisasa Energy servant

Okoa $
kwa mwaka.

Amka bila kujisikia baridi kwa kuwa na uwezo wa kisasa wa kusimamia ac – Kujiendesha na TIS Amka bila kujisikia baridi kwa kuwa na uwezo wa kisasa wa kusimamia ac – Kujiendesha na TIS

SEMA HAPANA KWA BARIDI KALI KILA MUDA UNAPOKUWA UNAAMKA!

WEKA MIPANGILIO KATI MFUMO WAKO ILI UWEZE KUWEKA JOTO UNALOLIPENDELEA KWA MUDA WOWOTE MCHANA AU USIKU.

Sema hapana kwa wizi

Weka nyumba yako salama kwa kupiga kengele moja kwa moja mfumo unapogundua mtu asiyejulikana ameingia.

Zima AC ukiwa haupo nyumbani moja wa moja Zima AC ukiwa haupo nyumbani moja wa moja
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK