Inakuletea mazingira ya kifahari ndani ya nyumba yako.
Motor za mapazia za TIS kwa uhakika zitakuacha mdomo wazi, motor hii yenye nguvu na iliyo kimya ina uwezo wa kufungua pazia lenye uzito wa mpaka kilo 30, kwa kutumia TIS-BUS connection kwa ajili ya uangalizi wa nyumbani kwako na rimotu ya RF kwa ajili ya kuiendesha.
MOTA ZA PAZIA
Mota ya pazia yenye nguvu inaweza kuvuta pazia lenye uzito wa KG 30, ukitumia kiunganishi cha TIS-BUS kujiendesha nyumbani na uwezo wa kutumia rimoti (RF remote control function).
Tumefanya iwe rahisi zaidi kwako kusimamia nyumba yako.
Kwa kutumia TIS tunakupa uwezo huo.
Kufungua na kufunga pazia sasa ni rahisi kwa kutumia rimoti ya TIS ya pazia, sasa sio kazi tena.
Rahisisha mambo na weka starehe kwa sababu mfumo wa usimamizi wa mapazia wa TIS unakupa kile unachokitaka na kilicho cha muhimu.
Kazi ya mapazia sio tu kufunika ndani.
Yanakupa faragha, ulinzi na kupendezesha ndani ya nyumba.
Inapendeza zaidi mwanga wa jua unapoingia ndani muda sahihi na hilo linawezekana na TIS.
Nunua vifaa vya pazia vyote kutoka kwetu kwa pamoja.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha