Kihisio cha Moshi
Ni cha kijanja, muundo unaotumia photoelectric kwa ajili ya kugundua moto kwa ubora
Furahia utendaji kazi wake mathubuti na uwezekano mdogo sana wa kupata tahadhari ya uongo
Pata taarifa popote pale ulipo duniani & ongeza usalama wa nyumba yako
Inakutumia taarifa ya tahadhari katika App yako ya TIS na kukusaidia kuchukua hatua unapokuwa mbali
Ifunge popote unapoihitaji
Ina muundo mdogo na inakuwezesha kuifunga katika sehemu yoyote unayohitaji kujua uwepo wa moshi kama vile jikoni, chumba cha hotelini, dukani n.k.
Haihitaji vifaa kuifunga
Unaweza kufanya mwenyewe bila msaada wowote wa fundi au mtaalamu
Ipachike tu na uanze kutumia
Inakuja na viwango vikubwa sana vya kuthibitishwa
Imethibitishwa na CE, ROHS, FCC
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha