TIS DALI 64 Channel Controller TIS DALI 64 Channel Controller

Ina kiwango cha ubora kidunia katika kusimamia taa. Ni rahisi na inapatikana kwa gharama nafuu.

Kuna channel 64, au anuani binafsi, inapatikana na kuwezesha ballasts kuunganishwa katika laini moja ya muingiliano.

TIS DALI (Digital Addressable Lighting Interface) ni CONTROLLER ya CH 64

Dali controller ya vifaa 64 katika Mtandao mmoja wa Dali. Inabadilisha umeme kutoka TIS bus yetu kwenda katika Mtandao wa Dali ili uweze kutumia paneli ya TIS yenye muonekano wa kuvutia kwa ajili ya kupunguza mwanga na pia kusimamia vileosura(interfaces) za taa za DALI zote.

  • Nembo ya Itifaki ya DALI

  BLACK

  UPC 658921798539

  EAN 0658921798539

  BARCODE (UPC)

  DALI64 controller Module, kwa kusimamia taa

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK