Socket ya WiFi yenye plug ya kisasa kutoka kwenye vifaa vya kujiendesha vya nyumbani vya TIS Socket ya WiFi yenye plug ya kisasa kutoka kwenye vifaa vya kujiendesha vya nyumbani vya TIS

TUNAKULETEA AIR SOCKET AMBAYO INA UMUHIMU MKUBWA ZAIDI YA ZOTE.

AIR Power Socket

Chomeka TIS-AIR Socket kwenye taa yoyote ya mezani, feni, kipashio moto au kifaa kingine cha nyumbani na uweze kukiwasha kutoka popote ulipo. Inapatikana kama swichi ya kuwashia/kuzimia au kama socket ya kupunguzia mwanga wa taa. Hakuna haja ya gateway au nyongeza ya vifaa vingine. TIS Socket ni rahisi kutumiakwa kutumia simu yako janja au kwa panel nyingine na kioo cha kugusa.

  • Nembo ya WIFI 2.4Ghz

  • Nembo ya Taa ya CFL

  • Nembo ya Kucheza

  • Nembo ya Muda

  • Nembo ya mita ya Umeme

  • Nembo ya Simu android

  • Nembo ya Iphone

  • Nembo ya vifaa vya nyumbani

  WHITE

  UPC 658921796931

  EAN 0658921796931

  BARCODE (UPC)

  Plug ya WiFi yenye socket ya kisasa kutoka kwenye teknolojia ya TIS
Simamia taa zako unapokuwa mezani kwa kutumia tablet za kisasa – TIS

INAWEZA KUENDESHWA KWA KUTUMIA WIFI KWA KUTUMIA APP YAKO KUWASHA VIFAA VINGINE VYA KAWAIDA AU KUVIZIMA.

Chomeka socket yako ya kisasa na uweze kusimamia vifaa vyako kutoka popote – TIS Smart Home Chomeka socket yako ya kisasa na uweze kusimamia vifaa vyako kutoka popote – TIS Smart Home

OKOA NAFASI NDANI KWA VITU MUHIMU ZAIDI VINAVYOFAA.

ICHOMEKE POPOTE PALE.

Washa vifaa vyako vya umeme vya kuleta joto kabla hata haujafika nyumbani - TIS Washa vifaa vyako vya umeme vya kuleta joto kabla hata haujafika nyumbani - TIS

FANYA UWEZEKANO WA KUREKEBISHA JOTO LA SEHEMU YOYOTE KUWA KIWANGO KILE UNACHOKIPENDELEA WEWE.

Socket ya kisasa inayoweza kusimamia aina zote za vifaa vya umeme – TIS Socket ya kisasa inayoweza kusimamia aina zote za vifaa vya umeme – TIS

INA UMBALI MREFU NA INAUWEZO WA KUPOKEA VIFAA VYOTE PAMOJA NA KUKURUHUSU KUUNGANISHA NAYO NA KUKIWASHA BILA KUWEPO KARIBU.

Jiko la kisasa litakutengenezea kahawa yako kila siku asubuhi - TIS Jiko la kisasa litakutengenezea kahawa yako kila siku asubuhi - TIS

Inachukua usukani! Inarahisisha asubuhi unapoamka, unaamka na kusikia harufu nzuri ya kahawa yako kila asubuhi.

Je, umesahau kuzima pasi yako – usiwaze, unaweza kuizima kwa kutuia app ya TIS bila yaw ewe kuwepo Je, umesahau kuzima pasi yako – usiwaze, unaweza kuizima kwa kutuia app ya TIS bila yaw ewe kuwepo

USIWAZE KUHUSU KUSAHAU KUCHOMOA CHOMBO CHOCHOTE.

TUNA SULUHISHO LAKO.

UNAWEZA KUZIMA KIFAA CHOCHOTE BILA KUWEPO KARIBU.

Zima plug yako ya kisasa kwa kutumia amri ya sauti – TIS Zima plug yako ya kisasa kwa kutumia amri ya sauti – TIS
Alexa, turn on the electric heater in the kitchen.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Nyumba ya kisasa inagharimu kiasi gani? Uendeshaji wa nyumbani na TIS Nyumba ya kisasa inagharimu kiasi gani? Uendeshaji wa nyumbani na TIS Nyumba ya kisasa inagharimu kiasi gani? Uendeshaji wa nyumbani na TIS Nyumba ya kisasa inagharimu kiasi gani? Uendeshaji wa nyumbani na TIS
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Tazama vifaa vyako vya umeme vinatumia umeme kiasi gani – Teknolojia ya TIS Tazama vifaa vyako vya umeme vinatumia umeme kiasi gani – Teknolojia ya TIS

SIO TU SWICHI PEKEE; BALI PIA NI KIOKOA UMEME.

NYUMA YA MUONEKANO WAKE BORA, SWICHI HII YA TAA INAZUIA, KUTUNZA NA KUTAZAMA MATUMIZI YA UMEME KILA SIKU, WIKI, MWEZI NA MWAKA.

Washa vifaaa vya kucheongeza joto moja kwa moja kabla ya kufika nyumbani – TIS Washa vifaaa vya kucheongeza joto moja kwa moja kabla ya kufika nyumbani – TIS
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au vipashia joto vinaweza kuwekewa mipangilio ya kuwaka na kufikia joto unalolihitaji punde tu baada ya wewe kufika nyumbani.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK