TIS Smart home automation Weather Station TIS Smart home automation Weather Station

Taa ya Bablu

Closing shutters in storms automatically Closing shutters in storms automatically

Chaguo la kwanza kwa wale wanaotaka kuongeza rangi ndani ya nyumba zao za kijanja

Closing shutters in storms automatically Closing shutters in storms automatically

Unaweza kuweka mwanga kuanzia 1% mpaka 100% ili kuendana na nyumba yako.

Used in smart watering and temperature control  industry Used in smart watering and temperature control  industry

Unaweza kurekebisha mwanga mweupe kutoka kuwa nyeupe baridi kuwa ya moto ili kuendana na mazingira yanayokuzunguka.

Smart Watering, saving energy in Water Smart Watering, saving energy in Water

Simamia taa kwa kutumia sauti yako

Unapounganisha taa ya balbu ya kijanja na msaidizi wako wa nyumbani kama vile Alexa au Google Assistand, taa zako siku zote zinakuwa tayari kusikiliza maagizo yako. Ziambie tu kile unachotaka zifanye, na zitafanya mara moja.

Smart Watering, saving energy in Water Smart Watering, saving energy in Water

Fanya mwenyewe.

Ifunge tu katika socket, na uanze kuweka rangi katika ulimwengu wako.

High UV alert message to your smart phone High UV alert message to your smart phone

Furahia kujiendesha kwake.

Usiwe na hofu tena kama umesahau kuzima taa.

Tengeneza ratiba kwa ajili ya taa yako ya LED kadri utakavyopenda.

Room Mold Sensor detection alert Room Mold Sensor detection alert

Inakupa mwanga tofauti kwa ajili ya shughuli yako yoyote.

Tumia mipangilio iliyowekwa na unogeshe chakula chako cha usiku kwa rangi nzuri & muziki.

Room Mold Sensor detection alert Room Mold Sensor detection alert

Okoa mpaka 84% ya umeme.

Taa zetu za balbu zinatumia umeme kidogo na zinadumu kwa muda mrefu zaidi ya balbu za kawaida.

Room Mold Sensor detection alert Room Mold Sensor detection alert

Itumie kupamba mazingira, na ufurahie uwezo wake wa kupunguzwa mwanga ndani ya chumba cha kulalia, chumba cha kula, korido, chumba cha watoto, jikoni n.k.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK