Programu za Windows

Programu ya kutafutia kifaa cha TIS
Device Search V4.13(New)

Hii ni program mpya kwa ajili ya kuweka program kwenye vifaa vyote vyaTIS-BUS naTIS-AIR.

TIS Device Search Software
TIS DevSearch Windows V10.1.9

This is new configuration software for programming all TIS-BUS and TIS-AIR devices.

TIS DevSearch Mac V10.1.5

This is new configuration software for programming all TIS-BUS and TIS-AIR devices.

Programu ya kuwekea mipangilio katika vifaa vya TIS smart home
Device Search V1.85(Old)

Programu hii ya kuweka mipangilioni kwa ajili ya kuweka program kwenye vifaa vyote vya TIS-BUS. Nzuri kwa ajili ya vifaa vilivyotengenezwa kabla ya mwaka 2017.

TIS Smart Control – Programu ya Windows
Home Control Software V3.3

Ni program ya Windows yenye muonekano mzuri inayotumika kuendesha taa, kiyoyozi, mapazia na vifaa vingine.

Programu ya TIS Hotel GRMS Management
Hotel Management Software V2.07

Programu hii inatumika kwenye mahoteli kuendesha taa katika vyumba vya wageni, kiyoyozi, mapazia, kupokea tahadhali za moto na kuvuja kwa maji, pia unaweza kupata maombi ya huduma kutoka kwenye chumba kama kufanya usafi, kufua na zaidi.

Programu ya Hotelini ya TIS kwa ajili ya kuangalia kadi zinazoingia na kutoka
Hotel Old Access Cards Management Software

Programu hii inatumika kusimamia kadi za vyumba ya nyumba ya kulala wageni, kuangalia wanaoingia, wanaotoka, kadi za kufungua vyumba vyote, na aina ya ruhusa kwa kila kadi.

TIS Hotel Card checkin checkout management softwar
TIS New Hotel Card Managment

Programu hii inatumika kusimamia kadi za vyumba ya nyumba ya kulala wageni, kuangalia wanaoingia, wanaotoka, kadi za kufungua vyumba vyote, na aina ya ruhusa kwa kila kadi.

Programu ya TIS BMS
BMS (Building Management System) Software V2.14

Programu ya Windows kwa ajili ya kuendesha na kuangalia taa za jingo zima, viyoyozi, na vihisio katika kila ghorofa. Itasoma pia na taarifa za umeme na kuchapisha nje makadilio ya kila mwezi.

TIS Firmware & Data & Transfer Tools
TIS Firmware & Data & Transfer Tools V

Programu hii inatumika kupakua toleo jipya la firmware ya kifaa ili kuweka sifa mpya au kutatua matatizo katika firmware.

TIS Firmware & Data & Transfer Tools
Smart City Control V1.06

IOS / MAC Apple

App ya TIS smart control kwa ajili ya IOS
Tis automation smart control Professional (for IPAD)

TIS inatoa bure program kwa ajili ya iPad na iPhone yako ili kusimamia na kuendesha kifaa chako cha TIS, kufanya taa za nyumba yako, hali ya hewa na usimamizi wa ulinzi kuwa rahisi kusimamia. Programu za watengenezaji wengine wengi wa program pia zinapatikana zikiwa na kileo sura na muonekano tofauti. Unaweza kuwasiliana na sisi kwa maelezo zaidi kuhusu program zetu zote zinazofanya kazi na kifaa chako.

App ya TIS smart control kwa ajili ya IOS Iphone
Tis automation smart control

TIS inatoa bure program kwa ajili ya iPad na iPhone yako ilikusimamia na kuendesha kifaa chako cha TIS, kufanya taa za nyumba yako, hali ya hewa na usimamizi wa ulinzi kuwa rahisi kusimamia. Programu za watengenezaji wengine wengi wa program pia zinapatikana zikiwa na kileo sura na muonekano tofauti. Unaweza kuwasiliana na sisi kwa maelezo zaidi kuhusu program zetu zote zinazofanya kazina kifaa chako.

App ya TIS WIFI ya Kengele ya mlangoni
TIS WIFI BELL

Tumia kengele ya mlangoni janja na ya kisasa kupokea hodi ya mlangoni ukiwa mahali popote. Unganisha kengele ya mlangoni na WiFi au intaneti kwenye LAN ili kuweza kuona wageni kwenye kamera na kuongea nao kwa kupitia simu yako janja ya mkononi.

App ya TIS Oberon
Oberon door phone application

TIS Cloud ni suluhisho la juu sana la Cloud Intercom. Wageni wanaweza kukupigia kutoka kwenye simu yako ya mlangoni, na unaweza kuwasiliana nao kwa kutumia sauti na video na ukawafungulia mlango ukiwa mbali. Pia, unaweza kuangalia kwa kupitia kamera ya kwenye simu ya mlangoni kwa kupitia program ya simu yaTIS Cloud Intercom na kupiga simu kwenye kituo cha uangalizi na/au kwa mlinzi wako muda wowote utakapohitaji msaada.

Android Application

App ya TIS smart control ya Android
TIS Smart Home Automation

Angalia nyumba yako, ofisi, duka, shamba au mradi wowote mwingine kwa urahisi kabisa kupitia simu yako ya mkononi au tablet.

Application Android TIS
TIS Smart Home Automation apk file
Application Android TIS
TIS Smart Home Automation apk file (for tablet)
App ya TIS Android WIFI kwa ajili ya kengele ya mlangoni
TIS WIFI BELL

Kwa kutumia kengele ya mlangoni janja na ya kisasa unaweza kupokea hodi ukiwa mahali popote. Unganisha kamera ya kengele ya mlangoni kwenye WiFi au intanet iya LAN ilikuona na kuongea na wageni kwa kupitia simu yako janja ya mkononi.

TIS Oberon application

TIS Smart Control

TIS Smart Home Automation

Vifaa vya kisasa vyaTIS vinaweza kuwasiliana kwa kupitia ALEXA. Toa tu amri yako kwa sauti kwenye kifaa basi, umekwishamaliza.

Hauna haja ya kubonyeza katika skrini yako ili kukamilisha. Unaweza kusimamia taa za nyumbani kwako, kiyoyozi, mapazia, mifumo ya ulinzi, TV, DVD, na muziki ki urahisi kwa kuongea tu nakilakitu kitafanyika.

Ni ya kisasa, rahisi na bora.

Ili kuanza, tembelea katika ukurasa wa TIS.

( http://alexaconfiguration.tissmarthome.com )na kisha tengeneza akaunti mpya kama mwanachama. Kisha nenda kwenye ukurasawa MIPANGILIO nauweke anuani yako ya utambulisho wa subnet, Namba ya Kifaa, na namba ya Channel inayofaa kwa taa za chumba chako, kiyoyozi, mfumo wa ulinzi, muziki, TV, DVD, Rangiza RGB na Mudi zako kasha muulize Alexa “Alexa, open T.I.S for registration code” ilikupata namba yako ya kukamilisha usajili. Iweke namba hiyo katika nafasi ya mwisho ya ukurasawa MIPANGILIO.

TIS smart control Amazon Alexa skilles

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK