Sera ya Faragha

Ni taarifa gani tunazozikusanya?

Tunakusanya tu taarifa zako unapojiunga ili kupokea majarida yetu, kujiunga kwa ajili ya mafunzo au pale unapoomba ushirika wa kuwa muuzaji.

Tunatumia taarifa zako kwa kazi gani?

Kama ukiamua kujitoa katika orodha ya kupokea ujumbe wabarua pepe kutoka kwetu, utapokea barua pepe ambazo zinaweza kuwa na habari, taarifa juu ya kiwanda, taarifa za bidhaa au huduma husika na zaidi. Taarifa yoyote ambayo tunakusanya kutoka kwako inaweza kutumika ili kukutumia jarida letu, kukupa huduma inayokufaa wewe, au kutuma mashindano, promosheni, utafiti au vitu vingine vya tovuti.

Je, tunatumiacookies?

Ndiyo. Cookiesni mafaili madogo ambayo tovuti au watoa huduma wake wanatuma kwenye kumbukumbu ya kompyuta yako kwa kupitia program ya kutembelea intaneti (kama ukiruhusu) ambayo inawezesha tovuti au watoa huduma wamfumo kutambua program unayotumia kutembelea intaneti na kunakili pamoja nakukumbuka baadhi ya taarifa. Tunatumia cookies ili kuelewa na kuhifadhi mapendeleo yako kwa ajili yakukuwekea pale utakaporudi baadae na pia kuunganisha data kuhusu watembeleaji watovuti na utendajikazi watovuti ilituweze kutoa huduma na vifaa bora kwa watumiaji siku zambele. Tunaweza kuingia mkataba na mtoa huduma waziada ili aweze kutusaidia kufahamu zaidi watembeleaji wa tovuti yetu. Watoa huduma hawa hawaruhusiwi kutumia taarifa zilizokusanywa na sisi nje ya kutusaidia kuendesha na kuboresha biashara yetu tu.

Je, tunatoa taarifa yako yoyote nje ya kampuni?

Hapana.Hatuuzi, kufanya biashara, au kuhamisha taarifa zako binafsi kwa kampuni yoyote y anje. Hii haihusishi washirika wetu tunao waamini wanaotusaidia katika kufanya tovuti ifanye kazi vizuri, kuendesha biashara yetu, au kukupa wewe huduma, ilimradi washirika hao wanakubaliana kutunza taarifa hizisiri. Tunaweza pia kutoa taarifa zako kama tukiamini kwamba kuzitoa ni sahihi na kunafuata sharia, kunasimamia taratibu za tovuti yetu, au kulinda haki zetu na za wengine, mali au usalama. Lakini, taarifa zingine ambazo sio binafsi za watembeleaji wamtandao zinaweza kutolewa kwa makampuni ya nje kwa ajili yama soko, matangazo na matumizi mengine.

Muunganisho na makampuni ya nje

Kwa hiari yetu, tunaweza kuongeza bidhaa au huduma za kampuni za nje katika tovuti yetu. Tovuti za kampuni hizi za nje zina Sera ya Faragha tofauti na ya kujitegemea. Hivyo, hatuna majukumu wala kuhusika na maudhui au vitu ambavyo vitawekwa na tovuti za ma kampuni haya. Lakini hata hivyo, tunajitahidi kulinda uadilifu watovuti yetu na tunakaribisha maoni yoyote kuhusu tovuti hizo.

Sera yaFaraghayaMtandaoniTu

Sera hii ya Faragha ya mtandaoni inatumika tu kwa taarifa zinazokusanywa kwa kupitia tovuti yetu na sio kwa taarifa zinazokusanywa nje ya hapo.

Ridhaayako

Kwa kutumia tovuti yetu, unakubaliana na Sera yetu ya Faragha.

Mabadilikokatika Sera yaFaragha

Kama tukiamua kubadilisha Sera yetuyaFaragha, tutatuma mabadiliko katika ukurasa huu.

Maswali?

Kama unamaswali yoyote juuya Sera hiiya Faragha, tafadhali wasiliana nasi.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK