HVAC , AHU, FCU, VAV, Kwa kuendesha kiyoyozi cha mifereji - TIS HVAC , AHU, FCU, VAV, Kwa kuendesha kiyoyozi cha mifereji - TIS

HVAC (Heating, ventilation, and air conditioning)

Ni kifaa chako tegemezi katika kusimamia kiwango cha joto.

Inakuwezesha kuweka kiwango cha joto unachopendelea na hewa safi ndani.

Hii ndiyo teknolojia inayotoa mazingira ya mustarehe ndani ya nyumba na ndani ya magari.

HVAC module ni sehemu muhimu katika mfumo mkuu wa usimamizi wa kiyoyozi katika nyumba ya familia, vyumba vya ghorofa, hoteli na viwanda vya kati mpaka vikubwa na katika majengo ya ofisi.

HVAC VAV CLIMATE CONTROLLER MODULE

Moduli hii imetengenzwa ili kuendesha dampers zote za HVAC na VAV. Kwa output za HVAC kuna output 6 ambazo ni COOL, HEAT, AUX pamoja na LOW MEDIUM na HIGH KWA USIMAMIZI WA FENI. Kuna output moja ya 0-10v kwa uendeshaji wa VAV pamoja na kiunganishi kwa ajili ya kifaa cha nje cha kupima joto.

  • Nembo ya ripoti ya umeme

  • Nembo ya themmostat ya ukutani

  • Nembo ya Kihisio cha joto

  BLACK

  UPC 658921798386

  EAN 0658921798386

  BARCODE (UPC)

  HVAC Module- Kujiendesha na TIS Smart Home

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK