TIS 4Z 4Zone input 4 za kidigitali TIS 4Z 4Zone input 4 za kidigitali

Je, unafikiria kubadilisha na kuweka swichi za kidigitali? Tunacho kile unachokihitaji.

TIS-4DL-IN inatumika kubadilisha swichi ya kawaida na kuwa swichi ya kidigitali. Inaweza pia kuunganishwa na magnetic contacts au vihisio vya moshi kwa ajili ya ulinzi na usalama zaidi.

Input za zone 4 za Kidigitali

Inatumika kubadilisha swichi ya kawaida kuwa ya kidigitali, pia inaweza kuunganishwa kwenye contact za sumaku, vihisio vya moshi kwa ajili ya ulinzi na usalama.

    BLACK

    UPC 658921798676

    EAN 0658921798676

    BARCODE (UPC)

    Door Magnatic dry contact – TIS smart home

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK