Ni kwa namna gani mawazo madogo yanaleta mabadiliko makubwa?

“Kutoa bei iliyo bora kwa vifaa vya uangalizi wa nyumbani kwa kila mtu kwa kuunganisha teknolojia ya sasa pamoja nastaili na kwa umaridadi.”

Mawazo, staili na urahisi ni mambo yanatoelezea TIS Technology. Tumejikita tu kwene utoaji wa huduma ya vifaa bora vya uangalizi majumbani. Tunaelewa jambo la muhimu kwako na namna ya kutimizama hitaji ya wateja wale o ambayo yanaendelea kubadilika kila mara. Hivyo, kama umewekeza katika vifaa vya uangalizi wa nyumba ndani ya nyumba yako, weka uaminifu wako kwa TIS Technology.

Kuna makampuni mengi duniani yanajaribu kuelezea neno ‘janja’ na ‘staili’, lakini wachache wanauzoefu wakutoa huduma hiyo. TIS Technology inaujuzi na vifaa vinavyoweza kufafanua namna nyumba janja inavyopaswa kuwa.

Unawezaje kuangalia taa zako, kiyoyozi, mapazia, ulinzinamuziki? Vyote hivi vinaweza kufanyika kiurahisi kwa kutumiapanel 1 ndani ya chumba chako itakayoangalia taa za kona joto, chagua albamu, msanii au wimbo kutoka kwenye orodha yako ya nyimbo na ubonyeze kitufe cha kucheza kwenye keypadau rimoti. Na hivyo tuumemaliza!

Furahia mfumo wa uangalizi wa nyumba yako kwa namna ambayo hujawahi kuiona kabla.

Okoa mpaka 60% ya matumizi yako yanishati kwa kupitia uvumbuzi wetu wamfumo wa uangalizi.

TIS itakusaidia kufafanua staili yako na kubadilisha namna unavyoishi maisha yako na kukuwezesha kufurahia nyumba yako.

Bidhaa za TIS zinaonyesha namna uangalizi wa nyumba unavyoweza kuwa bora!

Vifaa vya TIS vinatoa huduma iliyo bora yauangalizi wa nyumbani unaopita huduma zote zinazotolewa na wazalishaji wengine wote.

Jiwe letu la msingi katika falsafa inayotuongoza katika utengenezaji nikutengeneza bidhaa bora zinazohusisha mahitaji yawateja hukuzikiwa na staili bora ya kipekee na ufanisi wa hali ya juu zaidi ukilinganisha na bei yake.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK