TIS Energy servant – TIS-BUS TIS Energy servant – TIS-BUS

Pale ambapo utahitaji kuokoa zaidi, tunakusaidia kuokoa zaidi.

Kwa kutumia TIS energy servant sensor tunakusaidia kuokoa pesa kwa njia mbalimbali.


ES-10F iliyo na vihisio vya mwendo na mwaga, infrared emitters, digital inputs, 12 volt output, 32 logic lines inatumika katika kuokoa umeme, kusimamia ulinzi na kujiendesha chenyewe.

Energy servant 10

Ukiwa na kihisio cha mwendo cha PIR, kihisio cha wingi wa mwanga, kusimamia infrared, input 2 za kidigitali, output za volt 12, mistari 32 ya mantiki (logic lines), inatumika kuokoa umeme, usimamizi wa ulinzi kwa AV na kujiendesha.

  • Usimamiaji wa Taa

  • Mita ya Lux

  • Kihisio cha PIR

  • Kihisio cha Joto

  • Uangaliaji wa Umeme

  • Kalenda

  • Uendeshaji wa Ratiba

  • Usimamizi wa AC

  • App za Kisasa

  • App zenye ufahamu

  WHITE

  UPC 658921798652

  EAN 0658921798652

  BARCODE (UPC)

  TIS ES-10F Sensor 10 function energy servant
Control your AC anywhere remotely anytime – TIS Control your AC anywhere remotely anytime – TIS

BIDHAA ZINAZOWEZA KUFANYA KAZI TOFAUTI NDANI YA NYUMBA.

UNAWEZA KUPATA KILA KITU NDANI YA BIDHAA MOJA.

MWENZAKO KATIKA NAMNA ZOTE.

WEKA MIPANGILIO KATIKA SAA KWA AJILI YA UANGALIZI WA KIYOYOZI.

WEKA PROGRAMU KATIKA KIYOYOZI IWE NA JOTO UNALOLITAKA.

Taa zinatumia umeme mwingi sana, na kawaida huwa hazihitajiki wakati wa mchana.

Save energy by occupancy sensor – TIS Save energy by occupancy sensor – TIS

Jisikie mustarehe kwenye nyumba ambayo inahali ya hewa nzuri.

Amani kwa kila mzazi anapotazama kiwango cha joto na usalama wa chumba cha mtoto muda wote.

Usijizuie matumizi yako. Achia TIS ikusaidie kuokoa.

Hatutoi teknolojia hii ya kisasa tu pekee; tunatoa pia bidhaa za kuokoa pia.

Unataka kujua kivipi?

Mfumo wetu janja unaweza kuwekewa programu na kugundua kama hakuna mtu katika chumba na kisha kuzima taa pamoja na kiyoyozi ndani ya chumba hicho moja kwa moja wenyewe. Hii ni moja ya njia bora ya kuokoa umeme na gharama za matumizi.

Chagua kile kilicho bora kwako na kwa familia yako: TIS.

Save consumption cost by our smart TIS Energy servant Save consumption cost by our smart TIS Energy servant

Okoa $
kwa mwaka.

Wakeup without feeling cold by smart ac control – TIS automation Wakeup without feeling cold by smart ac control – TIS automation

SAY NO TO FREEZING TEMPERATURES EVERY TIME YOU GET UP!

SET YOUR SYSTEM TO REACH YOUR DESIRED TEMPERATURE ANY TIME OF DAY OR NIGHT.

Sema hapana kwa wizi

Weka nyumba yako salama kwa kupiga kengele moja kwa moja mfumo unapogundua mtu asiyejulikana ameingia.

With the 'absent mode', turn off your AA automatically when you're away. With the 'absent mode', turn off your AA automatically when you're away.
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK