LOGIN

FOR TRAINING CERTIFACTE

Please Enter Password

verifycode

Reset

Password

To reset your password, please enter the email address associated with your account. You will receive an email with a link to reset your password.

TIS Luna Hotel Panel Series, GRMS TIS Luna Hotel Panel Series, GRMS

Uvumbuzi wa mlolongo(series) wa vifaa hivi utafaa katika eneo lako la kutorokea, HOTELINI.

Tumetengeneza na kutoa bidhaa zilizotengenezwa maalumu kwa ajili ya hoteli.

Our hotel TIS Luna series inspired by moon Our hotel TIS Luna series inspired by moon

Leta mwanga mzuri usiku kukuongea starehe.

Mlolongo huu wa vifaa vya LUNA key card ulishinikizwa uvumbuzi wake na mwezi.

Hotel touch screen modern and easy to control – TIS Hotel Automation Hotel touch screen modern and easy to control – TIS Hotel Automation

Panel yetu ya kugusa na kidole in teknolojia kubwa sana lakini ni rahisi sana kutumia na haitakuchanganya pale utakapokuwa na mahitaji yako.

Latest technology for hotel access card – TIS GRMS Latest technology for hotel access card – TIS GRMS

Gusa na Ingia.

Hivi ndivyo Luna keycard yenye RFID ilivyo tofauti na washindani wetu wengine wote.

Unaweza kugusa kadi kwa urahisi tu ili kufungua mlango wa chumbani kwako.

TIS Hotel management software can manage all guest service requests TIS Hotel management software can manage all guest service requests

Kile unachokihitaji sisi tutakitekeleza. Kwa kutumia huduma ya kengele ya mlangoni ya TIS Luna, huduma itakufikia kwako muda wote. Inafanya kazi kama mazingaombwe, lakini utaona ikifanya kazi mbele ya macho yako.

Amri yoyote inayoonyeshwa katika panel itaenda moja kwa moja katika mfumo wa hoteli wa mtandaoni na huduma hiyo italetwa mlangoni kwako.

Take the control next to your be by TIS Luna panel Take the control next to your be by TIS Luna panel

Swichi isiyo na usumbufu wowote ipo pembeni yako.

Fanya muda wako wa kulala kuwa rahisi.

Luna series fit in all type and sizes of back boxes Luna series fit in all type and sizes of back boxes

Inaweza kukaa katika maboksi ya aina zote.

TIS Card switch for hotel TIS Card switch for hotel

Sio kama kadi zingine za kawaida za hotelini, kadi ya hotelini ya TIS ina kitufe cha huduma na uwezo wa kuwasha taa.

Na juu ya haya, inaweza kuokoa umeme pia!

Night ligh for touch screen luna panel form TIS Night ligh for touch screen luna panel form TIS

Hakuna tena usiku uliojaa giza

Panel ya TIS iliyo pembeni ya kitanda chako ina kioo cha LED kitakachomulika usiku wako.

Rahisi kukiona, kukipata na kukitumia.

For disabled people, TIS automation can help with its smart solution For disabled people, TIS automation can help with its smart solution

Panel ambayo itakuwa pembeni yako siku zote.

Tunajali sana kukupa starehe yote kwako.

Tunahakikisha wateja wote wanapokea bidhaa zetu bora pekee.

Tafadhali chagua bidhaa

  • CARD-SW-SRV3
  • LUNA-BEDSIDE
  • LUNA-BELL-3S
  • LUNA-BELL-3S-RF

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK