Luna TFT – panel ya kugusa kutoka TIS smart home Luna TFT – panel ya kugusa kutoka TIS smart home

Utaipenda mara baada ya kuigusa kwa mara ya kwanza, Tunakuletea panel ya LUNA TFT.

Inapatikana katika rangi ya kifahari nyeupe na nyeusi.

Panel ya Luna TFT LCD

Panel hii ina kioo cha kugusa chenye ukubwa wa inchi 4.3 na kihisio cha joto cha LCD ili kukupa uwezo wa kipekee katika kuwasha taa, muziki, hali ya hewa, motors, ulinzi, hisia, na vifaa vingine vya watengenezaji wengine. Itaonyesha pia taarifa na kukukumbusha kwa kupitia skrini yake yenye ubora mkubwa.

  • Kusimamia Taa

  • Kusimamia mapazia

  • Nembo ya Kucheza

  • Nembo ya Kalenda

  • Ripoti ya Umeme

  • Skrini ya Kugusa

  • App za Android

  • App ya IOS

  • RGB

  • Kiyoyozi kwa njia ya kisasa

  • Kihisio cha Joto

  • Nembo ya Usalama

  • Usimamiaji wa Muziki

  • Nembo ya usimamiaji kwa IR

  • Nembo ya Buzzer

  • Nembo ya Kituo cha Hali ya Hewa

  BLACK

  UPC 658921797204

  EAN 0658921797204

  BARCODE (UPC)

  WHITE

  UPC 658921797211

  EAN 0658921797211

  BARCODE (UPC)

  TIS Luna 9G - panel ya kisasa ya kugusa
  • Kusimamia Taa

  • Kusimamia mapazia

  • Nembo ya Kucheza

  • Nembo ya Kalenda

  • Ripoti ya Umeme

  • Skrini ya Kugusa

  • App za Android

  • App ya IOS

  • RGB

  • Kiyoyozi kwa njia ya kisasa

  • Kihisio cha Joto

  • Nembo ya Usalama

  • Usimamiaji wa Muziki

  • Nembo ya usimamiaji kwa IR

  • Nembo ya Buzzer

  • Nembo ya Kituo cha Hali ya Hewa

  BLACK

  UPC 658921797228

  EAN 0658921797228

  BARCODE (UPC)

  WHITE

  UPC 658921797235

  EAN 0658921797235

  BARCODE (UPC)

  TIS Luna bedside touch panel ikiwa na thermostat
  • Kusimamia Taa

  • Kusimamia mapazia

  • Nembo ya Kucheza

  • Nembo ya Kalenda

  • Ripoti ya Umeme

  • Skrini ya Kugusa

  • App za Android

  • App ya IOS

  • RGB

  • Kiyoyozi kwa njia ya kisasa

  • Kihisio cha Joto

  • Nembo ya Usalama

  • Usimamiaji wa Muziki

  • Nembo ya usimamiaji kwa IR

  • Nembo ya Buzzer

  • Nembo ya Kituo cha Hali ya Hewa

  GOLD

  UPC 658921797174

  EAN 0658921797174

  BARCODE (UPC)

  BLACK

  UPC 658921797181

  EAN 0658921797181

  BARCODE (UPC)

  WHITE

  UPC 658921797198

  EAN 0658921797198

  BARCODE (UPC)

  TIS Luna TFT Panel – Usimamiaji na TIS
Luna TFT ilishinikizwa na Mwezi, Uendeshaji na TIS Luna TFT ilishinikizwa na Mwezi, Uendeshaji na TIS

Mlolongo wa bidhaa za Luna ulishinikizwa na mwezi

Simamia taa, AC, Muziki, mapazia, usalama, hali ya hewa, vileta joto sakafuni (floor heater) vyote kutoka kwenye panel moja tu ya TIS

Ina vitufe 4 kwa ajili ya kuchagua katika menyu, unaweza kwa urahisi kusimamia taa, mapazia, muziki, kengere za ulinzi na zaidi.

Endesha AC yako na rimoti kwa kutumia app za Uendeshazi za TIS Endesha AC yako na rimoti kwa kutumia app za Uendeshazi za TIS

Endelea kuungana na marafiki zako kwa kupitia app ya simu ya TIS.

Unaweza kwa urahisi kuwasha kiyoyozi au kubadilisha kiwango cha joto kwa kubonyeza mara moja tu katika simu yako janja ya mkononi.

Kwa kubonyeza mara moja unaweza kuweka mpangilio wa kulala ukiwa na panel ya kisasa ya TIS Luna Kwa kubonyeza mara moja unaweza kuweka mpangilio wa kulala ukiwa na panel ya kisasa ya TIS Luna

Swichi hii imeshinikizwa na vumbuzi zetu za kila kitu ndani ya kifaa kimoja. Kivipi? Kwa kubonyeza kitufe kimoja tu cha kuwasha na kuzima, unaweza kuwasha na kuzima ta azote za ndani ya nyumba yako.

Hebu fikiria namna ilivyo rahisi kutohitajika kutazama swichi moja baada ya nyingine.

Swichi ya Taa ya Usiku – sio tu panel ya kisasa Swichi ya Taa ya Usiku – sio tu panel ya kisasa

Panel ambayo iko pembeni yako siku zote.

Njia rahisi ya kutumia swichi.

Panel ya Kisasa inawaka na kung’aa gizani – TIS smart home Panel ya Kisasa inawaka na kung’aa gizani – TIS smart home

Swichi unayoweza kuiona gizani.

Furahia uzuri na mng’ao wa kioo chenye mwanga wa LED kinachong’aa ili uweze kukiona kwa urahisi wakati wa giza na uepuke kusumbuka kuitafuta.

Fir ikiwa na controllers zote - TIS Fir ikiwa na controllers zote - TIS

Inakaa sehemu zote.

Kila kitu unachokihitaji ndani ya kifaa kimoja.

Kama nyongeza panel inakuja katika aina tofauti 5 na zote zinauwezo wa kutumika na swichi za Luna za 9gang.

Vuta na kidole kufunga panel – TIS smart home

Hapa TIS, tunaheshimu faragha na utulivu wako.

Na ndiyo maana tumetengeneza panel ya Luna na namna ya kuifunga na kuifungua.

Vuta chini kufungua na kufunga skrini.

Amri ya Saudi inapokelewa na TIS smart home Amri ya Saudi inapokelewa na TIS smart home
Alexa, turn on the spot lights in Sophia's room.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Funga aina zote za boksi za kuunganishia za duniani kote Funga aina zote za boksi za kuunganishia za duniani kote

Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote.

Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.

Luna TFT katika Nyumba ya Kisasa na TIS Luna TFT katika Nyumba ya Kisasa na TIS Luna TFT katika Nyumba ya Kisasa na TIS Luna TFT katika Nyumba ya Kisasa na TIS
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

TIS Luna TFT ni console ya usalama pia TIS Luna TFT ni console ya usalama pia

MLINZI WAKO WA UKWELI KUKUPATIA ULINZI.

Wakati umetoka, WEZI wanawinda mtu wa kumuibia.

USALAMA ni jambo ambalo limekuwa la kipaumbele cha TIS katika kukulinda wewe na nyumba yako. Na ndio maana tukatengeneza panel ya Luna ambayo inafanya kazi kwa ajili ya usalama na ulinzi wako.

TIS Luna TFT ni kifaa cha uangalizi wa mtoto pia kikiwa na uwezo kutoa taarifa ya buzzer na ujumbe mfupi TIS Luna TFT ni kifaa cha uangalizi wa mtoto pia kikiwa na uwezo kutoa taarifa ya buzzer na ujumbe mfupi

Salama na kwa Utulivu. Unaweza kutazama usalama wa mtoto wako pia.

Mfumo wetu umetengenezwa maalumu kukutaarifu wewe kama kuna hatari ya moto, maji kuvuja na vingine vingi zaidi. Pale ambapo usalama ni chaguo lako la kwaza, basi chagua TIS.

Simamia nyumba yako na app za kisasa kutoka TIS Simamia nyumba yako na app za kisasa kutoka TIS

Tengeneza hisia kwa kubadilisha rangi.

Kwa kutumia app yetu ya TIS, unaweza kuchagua rangi kwa urahisi itakayoendana na hisia zako.

AC yako inaweza kuwekwa ipooze hata kabla haujafika nyumbani - TIS app za kisasa AC yako inaweza kuwekwa ipooze hata kabla haujafika nyumbani - TIS app za kisasa
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaowasha kipasha joto kwenye sakafu yako na kukuwekea joto unalolipenda moja kwa moja kabla haujawasili.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK