Mfululizo wa TIS Mars – Home automation Mfululizo wa TIS Mars – Home automation

Uso mpya wa TIS: Swichi zetu za vitufe vya kubonyeza zinakuja katika rangi tofauti tofauti.

Tunakuletea swichi za Mars kutoka TIS za vitufe vya kubonyeza.

Zinakuja katika 4gang, 8 gang, 10gang, and 12gang pamoja na AC thermostat.

Mlolongo wa swichi zetu za Mars unapatikana kwa rangi Nyeusi, Nyeupe, rangi ya shampeni, Shaba, Weusi wa mkaa, Titani, na rangi ya Fedha iliyopauka. Rangi pia unaweza kuchagua nyingine kwa mapendeleo yako binafsi.

Mars 10Gang yenye Thermostat (MRS-ACG10G) ina vitufe 10+2, na skrini ya OLED ya inchi 1, pamoja na kihisio joto kilicho ndani yake yote ili kukupa kileosura bora na kukuwezesha kusimamia taa, hali ya hewa, motors, hisia na muziki. Pia itakukumbusha na kukuonyesha taarifa mbalimbali.

Swichi za Mars zenye vitufe 12, 8 na 4 zinakuwa na LED za rangi 2 katika kila kitufe. Panel hizi zina uwezo wa kupokea IR, ambayo inaweza kupokea taarifa kutoka kwenye rimoti za mkononi za TIS-MRC ili kuwasha taa, motors na hisia.

    • Kusimamia Taa

    • Kusimamia mapazia

    • Nembo ya Kucheza

    • App za Android

    • App ya IOS

    • Kiyoyozi kwa njia ya kisasa

    • Kihisio cha Joto

    WHITE

    UPC 658921797709

    EAN 0658921797709

    BARCODE (UPC)

    BLACK

    UPC 658921797716

    EAN 0658921797716

    BARCODE (UPC)

    CHAMPAGNE

    UPC 658921797723

    EAN 0658921797723

    BARCODE (UPC)

    TITANIUM

    UPC 658921797730

    EAN 0658921797730

    BARCODE (UPC)

    GOLDEN

    UPC 658921797747

    EAN 0658921797747

    BARCODE (UPC)

    SILVER

    UPC 658921797754

    EAN 0658921797754

    BARCODE (UPC)

    COAL

    UPC 658921797761

    EAN 0658921797761

    BARCODE (UPC)

    TIS Mars vitufe 12
    • Kusimamia Taa

    • Kusimamia mapazia

    • Nembo ya Kucheza

    • App za Android

    • App ya IOS

    • Kiyoyozi kwa njia ya kisasa

    • Kihisio cha Joto

    WHITE

    UPC 658921797631

    EAN 0658921797631

    BARCODE (UPC)

    BLACK

    UPC 658921797648

    EAN 0658921797648

    BARCODE (UPC)

    CHAMPAGNE

    UPC 658921797655

    EAN 0658921797655

    BARCODE (UPC)

    TITANIUM

    UPC 658921797662

    EAN 0658921797662

    BARCODE (UPC)

    GOLDEN

    UPC 658921797679

    EAN 0658921797679

    BARCODE (UPC)

    SILVER

    UPC 658921797686

    EAN 0658921797686

    BARCODE (UPC)

    COAL

    UPC 658921797693

    EAN 0658921797693

    BARCODE (UPC)

    TIS Mars vitufe 4
    • Kusimamia Taa

    • Kusimamia mapazia

    • Nembo ya Kucheza

    • App za Android

    • App ya IOS

    • Kiyoyozi kwa njia ya kisasa

    • Kihisio cha Joto

    WHITE

    UPC 658921797563

    EAN 0658921797563

    BARCODE (UPC)

    BLACK

    UPC 658921797570

    EAN 0658921797570

    BARCODE (UPC)

    CHAMPAGNE

    UPC 658921797587

    EAN 0658921797587

    BARCODE (UPC)

    TITANIUM

    UPC 658921797594

    EAN 0658921797594

    BARCODE (UPC)

    GOLDEN

    UPC 658921797600

    EAN 0658921797600

    BARCODE (UPC)

    SILVER

    UPC 658921797617

    EAN 0658921797617

    BARCODE (UPC)

    COAL

    UPC 658921797624

    EAN 0658921797624

    BARCODE (UPC)

    TIS Mars vitufe 8
    • Kusimamia Taa

    • Kusimamia mapazia

    • Nembo ya Kucheza

    • App za Android

    • App ya IOS

    • Kiyoyozi kwa njia ya kisasa

    • Kihisio cha Joto

    WHITE

    UPC 658921797495

    EAN 0658921797495

    BARCODE (UPC)

    BLACK

    UPC 658921797501

    EAN 0658921797501

    BARCODE (UPC)

    CHAMPAGNE

    UPC 658921797518

    EAN 0658921797518

    BARCODE (UPC)

    TITANIUM

    UPC 658921797525

    EAN 0658921797525

    BARCODE (UPC)

    GOLDEN

    UPC 658921797532

    EAN 0658921797532

    BARCODE (UPC)

    SILVER

    UPC 658921797549

    EAN 0658921797549

    BARCODE (UPC)

    COAL

    UPC 658921797556

    EAN 0658921797556

    BARCODE (UPC)

    TIS Mars AC10G ni thermostat yenye vitufe 10
TIS panel ilishinikizwa na Mars TIS panel ilishinikizwa na Mars

Mduara wa rangi ya dhahabu katika panel hii ulishinikizwa na Mars.

Itang’aa usiku, Swichi ya TIS Mars Itang’aa usiku, Swichi ya TIS Mars

Vitufe vinavyowasha taa vinang’aa kwenye giza, hivyo unaweza kuviona hata usiku.

Saizi za viwango vya Mfululizo wa TIS Saizi za viwango vya Mfululizo wa TIS

Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote. Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.

Amri ya Sauti na Amazon Echo – Uwezo wa TIS Amri ya Sauti na Amazon Echo – Uwezo wa TIS
Alexa, turn on the spot lights in Sophia's room.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Simamia uendeshaji wa nyumba yako ya kisasa kwa vifaa vya TIS vyenye waya Simamia uendeshaji wa nyumba yako ya kisasa kwa vifaa vya TIS vyenye waya Simamia uendeshaji wa nyumba yako ya kisasa kwa vifaa vya TIS vyenye waya Simamia uendeshaji wa nyumba yako ya kisasa kwa vifaa vya TIS vyenye waya
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Fungua au funga mapazia yako kwa kutumia app za kisasa – TIS Fungua au funga mapazia yako kwa kutumia app za kisasa – TIS

Endelea kuunganishwa na nyumba yako kwa kupitia app ya simu ya TIS. Itakukusaidia kuwa karibu zaidi kwa kukupatia njia rahisi ya kusimamia nyumba yako.

TIS inafanya kazi na aina zote za panel zitakazoongezwa TIS inafanya kazi na aina zote za panel zitakazoongezwa

Bidhaa inayotosha pote.

Kila kitu unachokihitaji. Aina zote ndani ya kimoja.

Panel inakuja katika aina 5 tofauti na inakaa na kutosha kila kitu katika swichi hii ya MARS ya vitufe vya kubonyeza

Swichi za ukutani za rangi mbalimbali kama vile rangi ya fedha, nyeusi, nyeupe, shaba na zaidi Swichi za ukutani za rangi mbalimbali kama vile rangi ya fedha, nyeusi, nyeupe, shaba na zaidi

Chagua kati ya rangi za kisasa itakayoendana na chaguo lako.

Furahia muonekano uliotengenezwa vyema kabisa.

Inakaa katika ukuta wenye muundo na rangi mbalimbali – Mfululizo wa Swichi za TIS Mars Inakaa katika ukuta wenye muundo na rangi mbalimbali – Mfululizo wa Swichi za TIS Mars

Kamwe hatuishiwi na staili. Rangi hizo nzuri za kifahari zina uwezo wa kuendana na aina yoyote ya ukuta.

Inakaa vizuri na mazingira yoyote ya ndani.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK