Swichi ya Venera , panel ya ukutani ya kisasa kutoka TIS Swichi ya Venera , panel ya ukutani ya kisasa kutoka TIS
ONYESHA UPANDE WAKO WA STAILI! MILIKI & TUMIA KIFAA HIKI CHA MUONEKANO WA KIFAHARI!

TUNAKULETEA SWICHI YA TAA YA TIS VENERA

PANEL ZA VENERA KWA AJILI YA KUWASHIA/KUZIMA TAA ZINAPATIKANA NA MKUSANYIKO WA VITUFE 2-3, INAWEZA KUENDESHA KWA KUPITIA CHANNEL YA RELAY NA PIA UNAWEZA KUWEKA MIPANGILIO NA KUTUMA AMRI KWENDA KWENYE VIFAA VINGINE NDANI YA MFUMO WA TIS.

  • WiFi imewezeshwa

  • Kusimamia Taa

  • Kusimamia Mandhari

  • Mipangilio ya saa

  • Mahesabu ya umeme

  • Swichi ya kugusa

  • App ya Android

  • App ya IOS

  BLACK

  UPC 658921795880

  EAN 0658921795880

  BARCODE (UPC)

  WHITE

  UPC 658921795897

  EAN 0658921795897

  BARCODE (UPC)

  Swichi ya kugusa yenye WiFi – Venera 1 gang panel – TIS smart home
  • WiFi imewezeshwa

  • Kusimamia Taa

  • Kusimamia Mandhari

  • Mipangilio ya saa

  • Mahesabu ya umeme

  • Swichi ya kugusa

  • App ya Android

  • App ya IOS

  BLACK

  UPC 658921795903

  EAN 0658921795903

  BARCODE (UPC)

  WHITE

  UPC 658921795910

  EAN 0658921795910

  BARCODE (UPC)

  Swichi ya kisasa yenye WiFi – Venera 2 gang panel – kujiendesha na TIS
  • WiFi imewezeshwa

  • Kusimamia Taa

  • Kusimamia Mandhari

  • Mipangilio ya saa

  • Mahesabu ya umeme

  • Swichi ya kugusa

  • App ya Android

  • App ya IOS

  BLACK

  UPC 658921795965

  EAN 0658921795965

  BARCODE (UPC)

  WHITE

  UPC 658921795972

  EAN 0658921795972

  BARCODE (UPC)

  Swichi ya taa yenye WIFI– Venera 3 gang panel – Teknolojia ya
  • WiFi imewezeshwa

  • Kusimamia Taa

  • Kusimamia Mandhari

  • Mipangilio ya saa

  • Mahesabu ya umeme

  • Swichi ya kugusa

  • App ya Android

  • App ya IOS

  BLACK

  UPC 658921795989

  EAN 0658921795989

  BARCODE (UPC)

  WHITE

  UPC 658921795996

  EAN 0658921795996

  BARCODE (UPC)

Swichi ya Venera ni rahisi na ina muonekano wa kisasa - TIS Swichi ya Venera ni rahisi na ina muonekano wa kisasa - TIS

ONJA URAHISI NA MUONEKANO WA KIFAHARI.

SWICHI YA KUGUSA ISIYOHITAJI WAYA INAKUONYESHA KWELI UFAHARI ULIVYO.

Simamia taa zako kwa urahisi kwa kutumia app ya TIS Simamia taa zako kwa urahisi kwa kutumia app ya TIS

HAKUNA TENA KUHANGAIKA! RAHISI NA KIULAINI.

UNACHOTAKIWA KUFANYA TU NI KUUNGA WIFI YAKO KATIKA MTANDAO, NA UMEMALIZA.

Kwa upendo mkubwa tunaleta kwako panel ya swichi ya Venera - TIS Kwa upendo mkubwa tunaleta kwako panel ya swichi ya Venera - TIS

MGUSO WA UPENDO HUU UMESHINIKIZWA NA TIS VENERA DIMMER.

Taa ya nyuma yenye rangi za RGB katika vitufe vya Venera dimmer - TIS Taa ya nyuma yenye rangi za RGB katika vitufe vya Venera dimmer - TIS

JIFURAHISHE KWA KUCHAGUA RANGI ZINAZONG’AA.

NA KUENDANA NA HISIA ZAKO VYEMA!

Smart home venera panel with backlit that shine at night – TIS Automation Smart home venera panel with backlit that shine at night – TIS Automation

Swichi inayoonekana gizani.

Furahia uzuri wake na mng’ao wa mwanga kutoka kwenye skrini ya LED inayong’aa gizani ili usihangaike kuitafuta.

Echo alexa inafanya kazi pamoja na TIS smart home – Amri kwa sauti Echo alexa inafanya kazi pamoja na TIS smart home – Amri kwa sauti
Alexa, set the spot lights to 50% in the dining room.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Simamia vifaa vyako vya kisasa ndani ya nyumba kwa nyaya au kwa WiFi au kwa vyote ndani ya muda mmoja - TIS Simamia vifaa vyako vya kisasa ndani ya nyumba kwa nyaya au kwa WiFi au kwa vyote ndani ya muda mmoja - TIS Simamia vifaa vyako vya kisasa ndani ya nyumba kwa nyaya au kwa WiFi au kwa vyote ndani ya muda mmoja - TIS Simamia vifaa vyako vya kisasa ndani ya nyumba kwa nyaya au kwa WiFi au kwa vyote ndani ya muda mmoja - TIS
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Simamia taa zako na mandhari yake kutoka kwenye iPad yako – TIS Simamia taa zako na mandhari yake kutoka kwenye iPad yako – TIS
Ukiwa na app yetu janja, TIS itakufanya ujisikie hauko mbali na nyumbani!

Inakupa uwezo wa kusimamia kila kitu bila kuwepo, nyumba yako ipo umbali tu wa simu yako!

Je, ulisahau kuzima taa zako? Je, ulizima kiyoyozi? Usiwaze tena!

Ifunge kwenye maboksi ya ukutani ya saizi tofauti Ifunge kwenye maboksi ya ukutani ya saizi tofauti

Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote.

Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.

Tazama matumizi ya taa zako kwa kutumia mfumo wetu na app yetu ya kisasa – Teknolojia ya TIS Tazama matumizi ya taa zako kwa kutumia mfumo wetu na app yetu ya kisasa – Teknolojia ya TIS
Mita ya Umeme

Sio tu swichi ya kupunguza mwanga, lakini ni mita ya umemepia.

Nyuma ya muonekano huu wa kifahari, swichi hii ya kupunguzia mwanga, Inatuza, na kutazama matumizi yako ya umeme kila siku, wiki, mwezi na mwaka.

TIS Smart Home Teknolojia ya GPS katika simu TIS Smart Home Teknolojia ya GPS katika simu
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.

Je, unajisikia uvivu kuamka kuwasha taa na kufungua mapazia?

TIS inakurahisishia kazi.

Jambo lingine la furaha ambalo haukulitegemea: Bidhaa zote za TIS AIR zina saa ndani yake.

Ndiyo! Zina saa ndani yake, hii inamaanisha unaweza, kwa mfano, ukaweka mapazia yako yafunguke asubuhi na kujifunga usiku, au muda wowote utakaopenda.

Unaweza pia kuweka mpangilio ili taa zako ziwake na kuzima muda unaopendelea wewe, na mengine mengi!

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK