Bidhaa ambayo ni lazima uwe nayo ili uendelee kuwa bora.
Weka na uweze kubadilisha vyanzo vya AV katika skrini zako ndani ya chumba yako.
Usinunue vingi; nunua kimoja kinachofanya kazi nyingi.
Kifaa hiki kinakuwezesha kuonyesha chaneli yako pendwa katika TV zingine zote kirahisi kabisa.
Unganisha & pangilia kila kitu
Furahia nyumba iliyopangiliwa bila kuwa na waya zilizotapakaa kila mahali.
Shirikisha wengine furaha
Unganisha Apple TV yako au Netflix, na ufurahie kutazama vipindi vyako mubashara na familia yako.
Kwa sauti & kusikika
Kifaa hiki cha AV matrix kinakuwezesha kutazama ubora mkubwa wa 4K ndani ya mita 70.
Uwezo mkubwa
Inaweza kutumika na mpaka chaneli nane za sauti na ina sehemu ya mipangilio ya HDCP na EDID.
Inafaa kwa nyumba kubwa, vyuo vikuu, vyumba vya mikutano, ofisini n.k.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha