Tunathamini michango mikubwa ya vitu vidogo.
Kifaa hiki cha kuongeza kweye Panel ni moduli ndogo inayotumika kuunganisha mfululizo wa vifaa vya Luna, Mars na Terre TIS interface panels kuziwezesha kufanya zaidi.
Kifaa hiki ni ‘dry input interface’ inayofanana na 3DL na ina infrared receiver ili kuwezesha usimamizi wa kujiendesha (automation control functions).
Ina input 2 za nyongeza za kidigitali na IR Emitter.
Panel addition – Ni bidhaa ndogo inayokuja kwa aina 5 tofauti ambazo zinatosha na zimetengenezwa kukaa katika swichi zetu zote.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha