WiFi Infrared Emitter – Usimamiaji wa TIS WiFi Infrared Emitter – Usimamiaji wa TIS

BIDHAA BORA NA JANJA KULIKO ZOTE INAYOFANYA KAZI KAMA RIMOTI KWA AJILI YA NYUMBA YAKO.

KIZAZI KIPYA CHA RIMOTI JANJA ZA KISASA KWA AJILI YA NYUMBA YAKO INAYOWEZESHWA NA IR EMITTER.

AIR-1IRE-T kwa kutumia sehemu moja ya kuchomeka ya infrared emitter na kihisio kimoja cha joto. Inatumika kimsingi kwa ajili ya kiyoyozi ili kuweza kuidhibiti na kuiangalia kwa kutumia app yetu, ambayo inakuwezesha kutazama na kutumia mahali popote.

  • Nembo ya Wifi

  • Nembo ya AC ya kugawanyika

  • Nembo ya TV ya kisasa

  • Nembo ya kusimamia TV

  • Nembo ya Muda na Tarehe

  • Nembo ya Kuangalia Umeme

  • Nembo ya Simu ya kisasa

  • Nembo ya Iphone

  WHITE

  UPC 658921796436

  EAN 0658921796436

  BARCODE (UPC)

  WIFI IR blaster, kwa ajili ya usimamiaji wa kiyoyozi – Uendeshaji na TIS
  • Nembo ya Wifi

  • Nembo ya AC ya kugawanyika

  • Nembo ya TV ya kisasa

  • Nembo ya kusimamia TV

  • Nembo ya Muda na Tarehe

  • Nembo ya Kuangalia Umeme

  • Nembo ya Simu ya kisasa

  • Nembo ya Iphone

  WHITE

  UPC 658921796443

  EAN 0658921796443

  BARCODE (UPC)

  Wifi ir emitter kwa ajili ya usimamiaji wa kumbi za sinema za nyumbani – TIS
Simamia joto la chumba chako bila wewe kuwepo kutoka mahali popote pale - TIS Simamia joto la chumba chako bila wewe kuwepo kutoka mahali popote pale - TIS

Simu yako janja inaweza kutumika kama rimoti pia.

Kwa kutumia uwezo wa IR emitter unaweza sasa kusimamia kiyoyozi chako kwa kutumia simu yako ya mkononi.

HAUHITAJI RIMOTI TENA NYUMBANI KWAKO.

KWA KUPITIA IR EMITTER UNAWEZA KUENDESHA VIFAA VYAKO VINGINE NA MIFUMO YA MUZIKI NA TV BILA KUWEPO KARIBU KWA KUTUMIA SIMU YAKO JANJA.

Washa TV yako na ubadilishe kuweka channel yako unayoipenda kwa kutumia amri ya Sauti tu - TIS Washa TV yako na ubadilishe kuweka channel yako unayoipenda kwa kutumia amri ya Sauti tu - TIS
Alexa, Turn on the air conditioning in the living room.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Control your TV from bed using your phone – TIS Control your TV from bed using your phone – TIS Control your TV from bed using your phone – TIS Control your TV from bed using your phone – TIS
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Simamia joto la chumbani kwako kwa kulingana na muda wa siku – TIS Simamia joto la chumbani kwako kwa kulingana na muda wa siku – TIS

SEMA HAPANA KWA BARIDI KALI KILA MUDA UNAPOKUWA UNAAMKA!

WEKA MIPANGILIO KATI MFUMO WAKO ILI UWEZE KUWEKA JOTO UNALOLIPENDELEA KWA MUDA WOWOTE MCHANA AU USIKU.

Teknolojia ya GPS kuokoa umeme ndani ya nyumba ya kisasa - TIS Teknolojia ya GPS kuokoa umeme ndani ya nyumba ya kisasa - TIS
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.

Msikiti wa kisasa unaokoa umeme kwa kutumia teknolojia yetu ya kisasa kutoka TIS Msikiti wa kisasa unaokoa umeme kwa kutumia teknolojia yetu ya kisasa kutoka TIS

Vitu vinavyoweza kufanywa na thermostat janja vinaweza kuokoa mpaka 50% ya matumizi yako ya umeme wa kawaida.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK