Kituo cha Hali ya Hewa kutoka TIS Smart home Kituo cha Hali ya Hewa kutoka TIS Smart home

Je, unahitaji kujua hali ya hewa itakavyokuwa? Chukua kifaa hiki cha kutabiri hali ya hewa. TIS weather station inauwezo wa kukupa utabiri wa mvua na uelekeo wa upepo na ina kihisio cha joto la nje, mita na saa.

Kifaa hiki kinachokusanya taarifa zinazohusiana na hali ya hewa pamoja na mazingira kinaweza kuwa ni kipima joto kwa ajili ya kuchukua joto la mazingira na barometa kwa ajili ya kupima mgandamizo wa hewa, pamoja na vihisio vya kupima mvua, upepo, unyevu na zaidi.

    • Nembo ya Uelekeo wa Upepo

    • Nembo ya kihisio cha Kiwango cha Mvua

    • Nembo ya Kasi ya Upepo

    • Nembo ya Unyevu

    • Nembo ya UV Index (Ultraviolet)

    • Nembo ya Mandari ya Mwanga

    • Nembo ya Joto la Nje

    WHITE

    UPC 658921799093

    EAN 0658921799093

    BARCODE (UPC)

    RS485 / Kituo cha Hali ya Hewa cha WiFi Kutoka TIS
Inatumika katika umwagiliaji wa kisasa na usimamiaji wa joto Inatumika katika umwagiliaji wa kisasa na usimamiaji wa joto

Vitu unavyovipenda vitaagaliwa na kulindwa.

Kuwa na busara na uchukue TIS weather station. Linda biashara yako isiathiriwe na mabadiliko ya hali ya hewa yasiyotabirika.

Umwagiliaji wa kisasa, unaookoa umeme na maji Umwagiliaji wa kisasa, unaookoa umeme na maji

Ina ufanisi, gharama nafuu na ni rafiki kwa mazingira.

Inakusaidia kutazama hali ya hewa. Kwa mfano, kifaa hiki kinauwezo wa kugundua mvua ikianza kunyesha na hivyo kufunga channel za maji na kukupunguzia gharama na kusaidia mazingira kwa kutumia raslimali asili.

Kufunga shutters yenyewe wakati wa dhoruba Kufunga shutters yenyewe wakati wa dhoruba

Mazingira ya ndani ni salama kwetu, kwa sababu kifaa kitafunga shutters chenyewe moja kwa moja pale upepo mkali utakapogundulika.

Ujumbe mfupi kwenye simu yako ya mkononi kutoa taarifa kunapokuwa na kiwango cha juu cha UV Ujumbe mfupi kwenye simu yako ya mkononi kutoa taarifa kunapokuwa na kiwango cha juu cha UV

Ni bora kuliko vinavyozuia mwanga wa jua, linda ngozi yako isiathiriwe na miale ya ultraviolet kutoka kwenye jua.

Ina uwezo wa kugundua UV kutoka kwenye jua na kukupa mwongozo kama utoke nje au usitoke.

Kuhisi na kutoa taarifa juu ya ukuaji wa Kuvu(mold) chumbani Kuhisi na kutoa taarifa juu ya ukuaji wa Kuvu(mold) chumbani

Epuka ukuaji wa fangasi wanaotokea kukiwa na majimaji, na mazingira ya joto.

Tazama hali ya unyevu nyumbani kwako na ujilinde dhidi ya bakteria.

Teknolojia ya vihisio vya Kituo cha Hali ya Hewa kutoka TIS Teknolojia ya vihisio vya Kituo cha Hali ya Hewa kutoka TIS

Muundo wa TIS weather station.

Utoaji wa taarifa ya Kuganda na uangalizi wake Utoaji wa taarifa ya Kuganda na uangalizi wake

“Kuwa macho, kuwa salama”

TIS weather station itakupa taadhari kwa vitu kama kukiwa na baridi kali ya kugandisha.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK