Je, unahitaji kuwasha taa za kumulika stejini na kuweka mbwembwe?
DMX48 inakufaa kwa ajili ya kazi hii. Ni kiwango kinachotumika kwa mawasiliano ya kidigitali katika mitandao ambayo inatumika katika kuwashia taa za stejini na kuweka mbwembwe. DMX pia imepanuka zaidi na kutumika sio tu kwenye steji bali nje kwenye kuwasha taa za majengo kabisa, ikiwemo ni taa za Krismasi au kuwasha vifaa vya kielektroniki katika mabango.
Controller hii inaweza kusimamia anuani 48DMX za vifaa tofauti; contoller nyingi zinaweza kuunganishwa kwa pamoja na TIS-BUS ili kusimamia vifaa vya DMX visivyo na idadi. Kila controller ya DMX inaweza kusimamia chaneli moja kwa moja au kuzipanga katika makundi na kusimamiwa kwa scene na mfululizo wa matukio ili kuonyesha manjonjo.
Kila sherehe nzuri inaanza kwa kutengeneza mazingira mazuri.
Pale ambapo unadhani umepata kila kitu, bonyeza mara moja na panel itawezesha kuweka mpangilio wa grove.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha