Paneli ya kugusa bora kwa nyumba zilizo na muonekano mzuri wa kuvutia
Ina skrini ya kifahari & ya kuvutia macho ya ukubwa wa 5.7”
Badilisha muonekano unaoutaka kwa kupangusa na kidole tu
Furahia mfululizo huu wa vifaa vyenye ubora katika kuhisi mguso na rahisi kuwashia taa, AC, muziki, mapazia, mandhari, ulinzi n.k.
Endelea kupendezesha chumba chako chote
Paneli hii ya kioo inaendana na majengo mapya na majengo yanayofanyiwa maboresho.
Furahia kukaribishwa kwa uchangamfu
Mwanga wa LED katika swichi hii ya taa itawaka kila utakapoisogelea.
Tengeneza na Okoa wakati mmoja
Tengeneza mwanga unaoutaka huku ukiokoa umeme pia.
Matumizi yasiyo na kikomo
Kinakaa katika aina zote za maboksi ya junction ya EU, UK na US pia.
We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha