KNX TIS Converter

TIS Smart Home Co, LTDnaTIS Control LimitedwametengenezaKNX TIS Module ilikufanya uunganishaji katiya TIS na KNX kuwa rahisi kabisa. Module hii inabadilisha itifaki (protocol) za KNX na kuwa itifaki za TIS Smart Home na kinyume chake pia.

Bidhaa zote za kisasa za majumbani kutoka TIS, kama vile Luna panel, swichi za taa, na vifaa vya kupunguzia mwanga vinaweza kuendesha swichi ya KNX kwa ajili ya taa, vipungu za mwanga pamoja na kiyoyozi.

Pia, KNX panel inaweza kuendeshaTIS relays, vipungu za mwanga, vifaa vya kutoa miale ya IR, na module za HVAC kwa ajili ya uangalizi wa kiyoyozi.

Programu ya TIS kwa ajili ya simu janja za kisasa inaweza pia kusimamia na kuendesha vifaa vya KNX kwa msaada wa Module hii.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK