Kihisio cha CO
Ngao yako dhidi ya hatari isiyoonekana.
Kihisio kilichothibitishwa chenye uwezo wa kugundua hata kiasi kidogo cha carbon monoxide.
Kwa ufanisi & Usahihi
Utapata ripoti kamili juu ya wingi wa gesi ya carbon monoxide.
Linda familia yako na wanyama wako wa kufugwa ndani dhidi ya muuaji huyu wa kimya.
Tunakuwezesha kuona kile kisichoonekana.
Muundo wa kisasa unaoweza kutoa kingora kwa sauti na kwa kuwasha taa.
Taarifa mara moja
Kinaangalia ndani mwako wakati wote na kukupa taarifa inapotokea kuna ongezeko la gesi ya CO hata unapokuwa uko mbali.
Jenga muundo wa ulinzi wa kijanja
Kiunganishe na vifaa vingine suluhishi ndani ya nyumba yako ya kijanja.
Ina matumizi makubwa
Tumia pale unapokihitaji, na uwatunze uwapendao wabaki salama.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha