MKAKATI WA USHIRIKIANO

TIS inafanya kazi na makampuni mengine uli kutoa suluhisho linaloweza kuunganishwa na vifaa vingine. Na kutoa bidhaa zenye kiwango cha juu cha ubora vikiwa na teknolojia ya kiwango cha juu.

Utengenezaji ulio wazi wa TIS unaweza kuunganishwa kiurahisi kabisa na mifumo mingine mingi. Muunganiko huu unaongeza urahisi pamoja na faida kwa TIS pamoja na kwa teknolojia ya kampuni tuliyoshirikiana nayo.

Home Automation Integration

  • TIS inafanya kazi na wazalishaji wengi ili kuhakikisha kuwa mifumo yetu inaweza kuunganishwa bila tatizo na vifaa vingine. TIS inatoa suluhisho kwa matatizo mengi katika uunganishaji wa kileosura katika teknolojia yetu: RS-232, RS485 na Ethernet. TIS imewasiliana na wazalishaji wengi katika soko (washirika) ili kuhakikisha ya kwamba bidhaa zao zinaungana vizuri na za kwetu. Washirika wetu wanapanua biashara yetu zaidi.
  • We offer interface solutions such as: RS-232, RS485, and Ethernet. We believe partnering manufacturers with configurable smart solutions expands our business.
  • Tunatoa nyaraka, bidhaa na msaada wa kitaalamu kwa wazalishaji wengi ili kuhakikisha kuwa mifumo yetu inaingiliana vizuri bila tatizo.
  • Zifuatazo ni baadhi tu ya kampuni na mifumo ambayo inaingiliana na TIS.

Modbus is a serial communications protocol originally published by Modicon (now Schneider Electric) in 1979 for use with its programmable logic controllers (PLCs). Modbus has become a de facto standard communication protocol and is now a commonly available means of connecting industrial electronic devices.

TIS  - Amazone Alexa

Amazon Alexa, inajulikana kwa urahisi kama Alexa, ni programu saidizi iliyotengenezwa na Amazon, kwa mara ya kwanza ilitumika kwenye kifaa cha Amazon Echo na Spika za kisasa za Amazon Echo Dot zilizotengenezwa na Amazon kutoa uwezo wa kuendesha kila kitu katika mfumo wa TIS nyumbani kwako kwa kutumia sauti.

TIS - Amazone Alexa

Ikitumia teknolojia ya UPB®, iliyovumbuliwa na PCS, swichi za kupunguza mwanga na keypads zinatumia mfumo wa nyaya wa kawaida katika nyumba za kuishi (Mfumo wa umeme wa 120/208/240V ukiwa na waya wa neutral katika kila swichi) ili kuweza kuendesha na kutengeneza mazingira ya kuvutia bila kuongeza nyaya zingine – hivyo kuwa na gharama ndogo, kukupa wigo mpana wa uchaguzi wa namna ya kuwasha taa.

TIS inaingiliana kikamilifu na Powerline Control Systems (PCS) Bidhaa za PlusWorx

TIS UPB Lighting

KNX, ni kiwango kilicho wazi kwa uuzaji na matumizi ya ndani ya mifumo ya uangalizi wa majengo. Vifaa vya KNX vinaweza kuangalia taa, blinds na shutters, HVAC, mifumo ya ulinzi, uangalizi wa matumizi ya umeme, sauti video, vifaa vya ndani vikubwa, televisheni, rimoti.

KNX inatumika Ulaya na wazalishaji wengi. TIS ina gateway yake ya TIS ambayo inaweza kuingiliana kikamilifu na vifaa vya KNX vinavyoongoza taa, vifaa vya kuzunguka, infrared na kiyoyozi.

TIS KNX Member

Cool Automation HVAC automation

CoolAutomation HVAC automation wataalamu wake wamejikita katika utengenezaji, kubuni na kuzalisha vifaa vya kusimamia vya kipekee kuwa kama suluhisho kwa ajili ya mifumo ya HVAC. Ukitumia vifaa vyetu inafanya kuunganisha mfumo unaochanganya wa kiyoyozi cha VRV/VRF pamoja na Mfumo wa usimamizi wa ndani na mfumo wa uendeshaji wa MBS kuwa rahisi sana na wa moja kwa moja

TIS Cool Automation for VRV AC

Digital Addressable Lighting Interface (DALI) ni hakimiliki kwa mifumo inayotumia mtandao ili kusimamia taa ndani ya jingo. Teknolojia iliyo chini yake ilitengenezwa na muunganikano wa wazalishaji wa vifaa ikiwa kama mrithi wa mifumo ya uendeshaji wa taa inayotumia 0-10 V, na kama kiwango kilicho wazi na kuwa kama upande wa pili wa Digital Signal Interface (DSI), ambayo ndio kitu ilichokuwa ikikitegemea

TIS Dali 64 protocol

DMX512 (Digital Multiplex) ni kiwango kilichowekwa kwa mitandao ya mawasiliano ya kidigitali ambayo inatumika mara kwa mara kusimamia mambo yanayofanywa na taa za kwenye steji. Ilikuja kuwa ni njia ya msingi kutumika katika kuunganisha swichi za kupunguzia mwanga, RGBW, na vifaa vya madoido kama vile mashine za ukungu au taa zenye ufahamu

TIS DMX 512 protocol

Wasambazaji Wetu

Wasambazaji wetu wanatusaidia kuzalisha vifaa vyenye ubora wa hali ya juu kwa kutuletea nyenzo na vitu vyenye ubora wa hali ya juu kadri iwezekanavyo

Texas Instruments Inc

Texas Instruments Inc. (TI) ni kampuni ya kiteknolojia ya Kimarekani inayotengeneza na kuzalisha semiconductors, ambazo inauza kwa wabunifu wa vifaa vya kielectroniki na wazalishaji duniani kote. Makao makuu yapo Dallas, Texas, Marekani, TI ni moja kati ya makampuni makubwa kumi yanayozalisha semiconductor duniani, kwa kuangalia wingi wa mauzo na uzalishaji. Malengo ya Texas Instruments ni kuzalisha analog chips na embedded processors, ambazo zinatengeneza 85% ya mapato yao. TI pia inatengeneza teknolojia ya digital light processing (DLP) na vifaa vya kiteknolojia vya elimu kama vile vikokotoo, microcontrollers na multi-core processors.

TIS – Texas Instruments
STMicroelectronics

STMicroelectronics inaongoza duniani kwa kutengeneza vifaa vinavyotumia semiconductor vinavyoleta matokeo chanya katika maisha ya watu, leo na siku za mbeleni pia. Ina wigo mpana sana wa bidhaa inazozalisha, ST inahudumia wateja wengi tofauti wenye mahitaji mbalimbali ya kielekroniki kwa kutoa suluhisho la semiconductor kwa ajili ya Uendeshaji Janja na katika matumizi ya Intaneti. Bidhaa za ST hivi sasa zinapatikana eneo lolote, na kwa pamoja na wateja wetu, tunawezesha uendeshaji janja na viwanda, miji na nyumba janja na kisasa, pamoja na kizazi kinachokuja cha simu za mikononi na matumizi ya intaneti katika vifaa.

TIS ST
ATMEL Corporation

Atmel Corporation was a designer and manufacturer of semiconductors before being acquired by Microchip Technology in 2016. The company focuses on embedded systems built around microcontrollers. Its products include microcontrollers (8-bit AVR, 32-bit AVR, 32-bit ARM-based, EEPROM, and flash memory devices, symmetric and asymmetric security chips, touch sensors and controllers, and application-specific products.

TIS Atmel
Maxim Integrated

Maxim Integrated ni kampuni ya Kimarekani, yenye hisa kwa umma ambayo inabuni, kuzalisha na kuuza analog & mixed-signal integrated circuits. Maxim Integrated inatengeneza intergrated circuits kwa ajili ya magari, viwanda, mawasiliano, watumiaji wa mwisho, na soko la vifaa vya kompyuta.

TIS Maxim
ON Semiconductor

ON Semiconductor ni moja kati ya makampuni ya Fortune 500 yanayosambaza semiconductors. Bidhaa zake zinahusisha power and signal management, logic, discrete, and custom devices for automotive, communications, computing, consumer, industrial, LED lighting, medical, military/aerospace and power applications.

TIS ON Semiconductor

Semtech Corporation:Semtech Corporation ni wasambazaji wa mixed-signal semiconductors. Wanaopatikana Ventura County, California ya kusini. Kampuni imejikita katika kuuza vifaa vinavyotoa suluhisho kwa matatizo ya power management, protection, advanced communications, human interface, test & measurement, as well as wireless and sensing products. Integrated circuits (ICs) za kampuni zinatumika katika mawasiliano, kopyuta na vifaa vinavyochomekwa katika kompyuta, automated test equipment, matumizi ya viwandani na mengine ya kibiashara.

TIS Semtech

Microchip Technology Inc.:ni kampuni ya Kimarekani yenye hisa zake zinazomilikiwa na umma ambay inazalisha microcontroller, mixed-signal, analog and Flash-IP integrated circuits. Bidhaa zake zinahusisha microcontrollers (PIC, dsPIC, AVR and SAM), Serial EEPROM devices, Serial SRAM devices, embedded security devices, radio frequency (RF) devices, thermal, power and battery management analog devices, pamoja na linear, interface and wireless solutions.

Mfano wa vifaa vinavyotoa suluhisho hili ni USB, zigbee, MiWi, LoRa, SIGFOX and Ethernet.

TIS Microchip

Monolithic Power Systems, Inc.:is kampuni ya kutoa suluhisho kwa kusimamia integrated power ikiwa na makao makuu mjini San Jose, California. Kampuni inatoa mifumo ambayo ni suluhisho kwa matatizo madogo ya uangalizi wa umeme kwa mifumo inayopatikana kiwandani, cloud computing, miundo mbinu ya mawasiliano, njia za usafiri, magari na vifaa vya mtumiaji wa mwisho.

TIS MPS

Xiamen Hongfa Electroacoustic Co, LTD: Hongfa relays zipo katika matoleo ya 160 plus series, 40,000 regular specifications ikiwemo signal relays, automotive relays, power relays, industrial relays, latching relays, new energy relays. Hongfa relays zinatumika kwa wingi sana kama nyenzo za kudhibiti hatua viwandani, magari, vifaa vya mawasiliano, vifaa vya majumbani, vifaa vya mahospitalini na vifaa kwa ajili ya ulinzi wa taifa.

TIS Hongfa

Fujitsu Ltd.: ni kampuni ya Kijapani ya vifaa na huduma za teknolojia ya mawasiliano iliyopo katika mataifa mbalimbali duniani ikiwa na makao makuu mjini Tokyo, Japan. Mwaka 2015, ilikuwa ni kampuni ya kumi kwa utoaji wa huduma za teknolojia ya mawasiliano kwa kuangalia mapato yake. Fortune aliisema Fujitsu kama moja ya makampuni yanayovutia duniani kote na moja ya makampuni 500 bora ulimwenguni

TIS Fujitsu

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK