TIS Smart home automation Weather Station TIS Smart home automation Weather Station

Kifaa cha kuhisi kuvuja kwa maji au mafuriko kisichotumia waya

Closing shutters in storms automatically Closing shutters in storms automatically

Fanya kifaa hiki kidogo kuwa, mlinzi wa kuaminika anayekupa taarifa nyumba yako inapovuja.

Kuwa wa kwanza kupata taarifa kuhusu vimiminika vinavyomwagika au kutiririka.

Closing shutters in storms automatically Closing shutters in storms automatically

Chukua hatua kwa haraka.

Pokea tahadhari mara moja juu ya kuvuja na epusha hasara.

Used in smart watering and temperature control  industry Used in smart watering and temperature control  industry

Ulinzi wa nyumba yako unakuwa mkononi mwako muda wote

Ilinde nyumba yako wakati wote kwa kutumia App ya simu ya TIS

Smart Watering, saving energy in Water Smart Watering, saving energy in Water

Ni rahisi sana kuunganisha gateway yako ya Zigbee ya TIS na inaweza kuunganishwa na vifaa vingine vyote vya TIS katika mazingira ya aina moja

High UV alert message to your smart phone High UV alert message to your smart phone

Muundo mdogo unafanya kiwe ni kidogo na kizuri.

Na matumizi madogo ya umeme, kinaweza kufanya kazi kwa muda mrefu.

Room Mold Sensor detection alert Room Mold Sensor detection alert

Kimeandaliwa tayari kwa kazi

Hakuna vifaa vya kufungia vinavyohitajika. Iweke tu kwa kulala juu ya sehemu uliyochagua.

Room Mold Sensor detection alert Room Mold Sensor detection alert

Boresha maeneo kama vile bafuni, chumba cha chini, au kabatini.

Maalumu kwa ajili ya kutoa taarifa ya tahadhari ya maji yanapoingia katika nyumba, apartment, jikoni, chooni, ghalani, ofisini, maabara, chumba cha hoteli, gereji n.k.

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK