Venera Dimmer – panel za kugusa za kisasa za wifi kutoka TIS Venera Dimmer – panel za kugusa za kisasa za wifi kutoka TIS
TIS VENERA DIMMER inakusaidia siku zote kuwa na kiasi cha mwanga unachokihitaji ndani ya nyumba yako siku zote.

VENERA Universal Dimmer ni swichi ya kupunguzia mwanga ya channel-1 iliyo na vitufe 3: KUWASHA/KUZIMA, Kuongeza Juu, na Kupunguza Chini. Inatumia nyaya zote wenye umeme pamoja na wa neutral ili kuweza kuipa panel ya Venera umeme.

Ina uwezo wa kupunguza umeme na kuwasha na kuzima MOSFET, ina uwezo wa kupunguzia umeme ikiunganishwa kwenye mizigo ya aina nyingi.

  • Kusimamia Dimming

  • Kusimamia Mandhari

  • Saa na Ratiba

  • Kutazama Umeme

  • Skrini ya Kugusa

  • Inaweza kutumika na Android

  • Inaweza kutumika na IOS

  BLACK

  UPC 658921796023

  EAN 0658921796023

  BARCODE (UPC)

  WHITE

  UPC 658921796030

  EAN 0658921796030

  BARCODE (UPC)

  Panel ya kugusa ya Venera, inawasha WiFi dimmer kutoka vifaa vya Kujiendesha kutoka TIS
Venera Dimmer ni rahisi na ina muonekano wa kifahari - TIS Venera Dimmer ni rahisi na ina muonekano wa kifahari - TIS

ONJA URAHISI NA MUONEKANO WA KIFAHARI.

SWICHI YA KUGUSA ISIYOHITAJI WAYA INAKUONYESHA KWELI UFAHARI ULIVYO.

Punguza mwanga wat aa zako kirahisi kwa kutumia app ya TIS Punguza mwanga wat aa zako kirahisi kwa kutumia app ya TIS

HAKUNA TENA KUHANGAIKA! RAHISI NA KIULAINI.

UNACHOTAKIWA KUFANYA TU NI KUUNGA WIFI YAKO KATIKA MTANDAO, NA UMEMALIZA.

Tunapenda kutambulisha kwako Venera dimmer - TIS Tunapenda kutambulisha kwako Venera dimmer - TIS

MGUSO WA UPENDO HUU UMESHINIKIZWA NA TIS VENERA DIMMER.

Taa ya nyuma yenye rangi za RGB katika vitufe vya Venera dimmer - TIS Taa ya nyuma yenye rangi za RGB katika vitufe vya Venera dimmer - TIS

JIFURAHISHE KWA KUCHAGUA RANGI ZINAZONG’AA.

NA KUENDANA NA HISIA ZAKO VYEMA!

Panel ya nyumbani ya kisasa ya Venera ina taa nyuma yake itakayong’aa usiku – Kujiendesha na TIS Panel ya nyumbani ya kisasa ya Venera ina taa nyuma yake itakayong’aa usiku – Kujiendesha na TIS

Swichi inayoonekana gizani.

Furahia uzuri wake na mng’ao wa mwanga kutoka kwenye skrini ya LED inayong’aa gizani ili usihangaike kuitafuta.

Echo alexa inaweza kutumika pamoja na TIS Echo alexa inaweza kutumika pamoja na TIS
Alexa, turn on the spot lights in Sophia's room.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Simamia vifaa vyako vya kisasa nyumbani vyenye waya na visivyo na waya au vyote kwa pamoja kwa muda mmoja - TIS Simamia vifaa vyako vya kisasa nyumbani vyenye waya na visivyo na waya au vyote kwa pamoja kwa muda mmoja - TIS Simamia vifaa vyako vya kisasa nyumbani vyenye waya na visivyo na waya au vyote kwa pamoja kwa muda mmoja - TIS Simamia vifaa vyako vya kisasa nyumbani vyenye waya na visivyo na waya au vyote kwa pamoja kwa muda mmoja - TIS
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

With love we introduce you Venera switch panel - TIS With love we introduce you Venera switch panel - TIS

Ukiwa na TIS Dimmer, siku zote unaweza kuweka kiwango cha mwanga kinachokufaa na kuendana na hisia zako.

Compatible with US , UK and EU sizes -TIS wall Dimmer Compatible with US , UK and EU sizes -TIS wall Dimmer

Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote.

Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.

Tazama matumizi ya taa zako kwa kutumia mfumo wetu na app yetu ya kisasa - TIS Tazama matumizi ya taa zako kwa kutumia mfumo wetu na app yetu ya kisasa - TIS
Mita ya Umeme

Sio tu swichi ya kupunguza mwanga, lakini ni mita ya umemepia.

Nyuma ya muonekano huu wa kifahari, swichi hii ya kupunguzia mwanga, Inatuza, na kutazama matumizi yako ya umeme kila siku, wiki, mwezi na mwaka.

Teknolojia ya Geo fencing – Kujiendesha na TIS smart home Teknolojia ya Geo fencing – Kujiendesha na TIS smart home
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.

Je, unajisikia uvivu kuamka kuwasha taa na kufungua mapazia?

TIS inakurahisishia kazi.

Jambo lingine la furaha ambalo haukulitegemea: Bidhaa zote za TIS AIR zina saa ndani yake.

Ndiyo! Zina saa ndani yake, hii inamaanisha unaweza, kwa mfano, ukaweka mapazia yako yafunguke asubuhi na kujifunga usiku, au muda wowote utakaopenda.

Unaweza pia kuweka mpangilio ili taa zako ziwake na kuzima muda unaopendelea wewe, na mengine mengi!

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK