LOGIN

FOR TRAINING CERTIFACTE

Please Enter Password

verifycode

Reset

Password

To reset your password, please enter the email address associated with your account. You will receive an email with a link to reset your password.

Air Coupler Module, convert your dumb switch to smart one - TIS Air Coupler Module, convert your dumb switch to smart one - TIS

Kamwe usidharau uwezo wa air coupler module. Ukubwa wa kitu sio kila kitu. Siku zote TIS inatoa ufanisi wa hali ya juu na bidhaa zenye ubora usioshindwa.

Je, unafikiria kuhusu kubadilisha swichi zako na kuwa swichi janja za kisasa lakini hautaki kuziondoa swichi zako za kawaida?

Boresha nyumba yako na kifaa hiki ambacho ni mbadala wa swichi za kawaida. Badilisha swichi zako za kawaida na kuwa za kisasa kwa kutumia module moja tu ya TIS Air couple

Na kukupa uwezo wa kuangalia nyumba yako.

Fungua na kufunga mapazia yako kwa kupitia app ya kwenye simu yako janja.

Fit in all boxes to control all type of wall switches - TIS Fit in all boxes to control all type of wall switches - TIS

Inaweza kufungwa na aina zote za swichi za kawaida.

Imetengenezwa kuwekwa badala ya swichi yoyote ya ukutani na kuifanya kuwa swichi janja na kukuonjesha maisha ya kijanja pia.

Smart small size module for easy automation - TIS smarthome Smart small size module for easy automation - TIS smarthome

NI NDOGO KAMA INAVYOONEKANA, LAKINI MATOKEO YAKE NI MAKUBWA ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA.

By 3 easy DIY steps , make your own smart home - TIS By 3 easy DIY steps , make your own smart home - TIS

HATUA 3-NA UMEMALIZA

FUNGA, UNGANISHA & TUMIA

Sahau tabu unapodumia bidhaa za TIS AIR. Ndani ya hatua 3, utafurahia uangalizi wa nyumba yako bila uhitaji wa wewe kuwepo.

HAKUNA haja ya kufunga nyaya tena wala kurudia kufungua na kufunga nyaya.

Kwa hatua moja funga, chomeka, na kisha unganisha na router ndani ya nyumba yako na ofisini.

RAHISI na KIULAINI

Je, unajisikia uvivu kuamka kuwasha taa na kufungua mapazia?

TIS inakurahisishia kazi.

Jambo lingine la furaha ambalo haukulitegemea: Bidhaa zote za TIS AIR zina saa ndani yake.

Ndiyo! Zina saa ndani yake, hii inamaanisha unaweza, kwa mfano, ukaweka mapazia yako yafunguke asubuhi na kujifunga usiku, au muda wowote utakaopenda.

Unaweza pia kuweka mpangilio ili taa zako ziwake na kuzima muda unaopendelea wewe, na mengine mengi!

Control your lights by voice command - TIS home automation Control your lights by voice command - TIS home automation

Alexa, turn on the spot lights in Sophia's room. ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

How easy to integrate wired with wireless smart home? – TIS How easy to integrate wired with wireless smart home? – TIS How easy to integrate wired with wireless smart home? – TIS How easy to integrate wired with wireless smart home? – TIS

MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS. Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Je, una geti kubwa la kuingilia ndani nyumbani kwako?

Basi, TIS itakufungulia. Kwa kupitia app yako ya TIS unaweza kufungua geti lako uli uweze kuingia na kisha kufunga nyuma yako.

Gio fencing technology that save the energy when you are away – TIS Gio fencing technology that save the energy when you are away – TIS

Teknolojia ya Geo-Fencing Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.

Tafadhali chagua bidhaa

  • ACM-1D-2Z
  • ACM-1R-1Z
  • ACM-2R-2Z

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK