Kuelekea Katika Mazingira ya Elimu Bora

Sote tunajua kwamba dhana ya elimu inabadilika kila leo. Smart School (Shule Janja) ni bidhaa inayounganisha teknolojia ya juu pamoja na vifaa vya kielimu. Katika muktadha wa elimu janja, vifaa kama vile kompyuta mpakato, skrini za kufundishia, na projector zinatumika kuongeza vionjo katika kujifunza na kukuza usawa.

TIS technology inawezesha mipangilio kabambe ya elimu kwa kuboresha mazingira ya kusomea. Mwalimu anaweza kusimamia projector na kucheza video ya kielimu na pia kupunguza mwanga wa taa kwa kupangusa tu kirahisi ili kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya wanafunzi.

Kuwa na itifaki(protocol) moja inayoweza kukupa uwezo wa kusimamia mandhari zaidi ya moja na kutengeneza mandhari ni faida kubwa. Unapofika wakati wa kufanya mazoezi ya michezo, kocha au mkurugenzi anaweza kutumia itifaki janja ya TIS, kwa mfano, kuwezesha mandhari ya “show” na kuweka taa, mifumo ya sauti, na Kiyoyozi kwa namna inavyotakiwa.

Usimamizi wa joto unakuwa ni rahisi pia; kuna moduli elevu ambazo zina thermostat ndani yake zenye uwezo wa kubadili joto la chumba kutokana na hali ya hewa ya nje na ukubwa wa chumba, hivyo kuepusha joto/baridi kupita kiwango katika darasa kubwa au dogo.

solution smart school

Kihisio cha Afya kutoka TIS (TIS Health Sensor) kinaweza kusaidia katika kusimamia joto pamoja na kugundua gesi hatari kama vile CO; kihisio hiki janja kinaweza kutazama kiwango cha unyevu na kuhifadhi nyuzi joto bila kubadilika katika chumba kwa kulingana na hali ya hewa ya nje. Pia inachuja hewa wakati huo huo, hivyo kupunguza hatari ya kuambukiza magonjwa. Kihisio cha Afya kutoka TIS kinafaa zaidi katika majengo ya umma yanayotumika na watu wengi kama yale ya kielimu.

Shukrani kwa IoT na upatikanaji wa mtandao, siku hizi majengo yamekuwa na ufanisi mkubwa zaidi katika matumizi ya nishati, kwa kuwa vihisio janja vyetu vina uwezo wa kugundua mwendo na saa ndani yake vimetengenezwa kufanya kazi bila kuhitaji mtu kuviongoza bali kwa kuangalia tu uwepo wa watu katika mazingira. Hivi, ni sahihi zaidi kutumika, kwa mfano mashuleni na vyuoni, na vinaongeza ufanisi katika matumizi ya umeme sana.

solution smart school

Kutazama maficho na wanachofanya wanafunzi sio jambo rahisi kabisa. Pia, ukitegemea kwamba wanafunzi wanaweza kuwa katika hatari nyingi wanapokuwa katika katika mazingira ya elimu, ni muhimu kuwekeza katika usalama. Hapa ndipo suluhisho la usalama kutoka TIS linapokuwa na msaada.

TIS technology inasaidia kuboresha hali ya vituo vya kujifunzia na kuleta mazingira janja ya kielimu ili kuwezesha ubunifu na mafanikio ya mwanafunzi.

solution smart school
solution smart school
solution smart school
solution smart school
solution smart school
solution smart school
solution smart school
solution smart school
solution smart school
solution smart school
solution smart school

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK