Jipatie Namna Unavyopendelea.

Teknolojia janja imeboresha nyanja zote za maisha yako. Siku hizi, wateja wanaweza kufurahia maisha yao. Kuna suluhisho mbalimbali za teknolojia janja kwa ajili ya boti na meli kubwa za mapumziko zitakazofanya likizo yako kuwa ya kusisimua zaidi.

TIS Automation Group inakuletea bidhaa janja zenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya boti yako ya binafsi; panel zetu nyingi, vihisio, moduli, n.k. vyote vimetengenezwa kukaa ndani ya boti ya aina yoyote na kumuwezesha mtumiaji kusimamia kila nyanja ya maisha yake ya likizo akiwa baharini.

Funga TIS Luna panel kwenye boti yako, na itakuwa rahisi zaidi kuwasha taa, muziki, kiyoyozi na zaidi. Kifaa hiki kina matumizi mengi ya kukuwezesha kusimamia kijanja na kutengeneza mazingira unayoyataka katika vyumba ambavyo vimefungwa. Unaweza kuwasha taa bila kadri uwezavyo, kusimamia vifaa vya sauti kama vile AUX, USB, redio, na kadi za SD, kuweka jambo fulani litokee ifikapo joto kiasi fulani, mlio, na mipangilio ya taa ni baadhi tu ya sifa za TIS Luna panel.

Luna panel yetu inaunganisha pamoja taa, muziki na hali ya joto na inakuwezesha kupumzika kwa amani. Haijalishi kama unafanya sherehe ya jioni au kufurahia chakula cha jioni na mpenzi wako, weka mipangilio yako tu unayoipendelea kwa kupangusa kidogo. Pia, usisahau kuweka mipangilio ya lugha na picha katika panel hii; ipe boti yako utu.

Kihisio cha TIS ES ni suluhisho jingine la kifahari kwa ajili ya boti za kijanja.  Energy Servant Sensor with 10 Functions ni kihisio cha juu ya dari chenye muundo wa kuvutia na kinachobeba kihisio cha mwendo cha PIR, kihisio cha ukali wa mwanga, relay outputs, na zaidi. Siku zote kitakuhakikishia ufanisi katika matumizi yako ya umeme.

Unaonaje ukiifanya meli yako ya mapumziko kuwa salama zaidi? Utaamuaje muda wa kuanza safari na ni njia gani utachukua? Usijali; Module ya TIS Weather Station ni kiongozi wako kwa masuala ya hali ya hewa, kutoa ripoti za taarifa zote za muhimu unazozihitaji katika safari yako ya meli. Kifaa hiki janja kinakupa taarifa kuhusu kasi ya upepo na uelekeo, kiwango cha mvua, joto, unyevu, na mengine mengi ili ukiwasha injini ya meli yako muda ambao ni salama .

Wasiliana nasi sasa, ongea na timu yetu, na utuambie mahitaji yako. Tutafanya safari yako ya boti ijayo kuwa ya kipekee.

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK