Chakula cha Kijanja

Siku hizi, migahawa mingi zaidi inategemea teknolojia, na makampuni mengi zaidi yanahangaika kubuni teknolojia za kibunifu ili kuboresha sekta ya ukarimu. Lakini nadharia ya mgahawa wa kijanja inaenda mbele zaidi tu kutumia tablet iliyo na menyu ya kidigitali tu katika mgahawa, uwezo wa kuchagua lugha tofauti, na maelezo kamili ya pishi, viungo vyake, muda unaotumika kuandaa, na picha zake.

Kabla mgeni hajaifikia menyu, muonekano wa kwanza wa mazingira kwa ujumla ndio unaweza kumshawishi/kumfukuza mteja kula chakula sehemu hiyo. Taa, kama tunavyojua, ni moja ya vitu vya muhimu zaidi katika muonekano wa eneo. Teknolojia yetu ya kisasa inakupatia mtandao wa vifaa vinavyoingiliana ambavyo vinaweza kusimamiwa hata ukiwa mbali kwa kutumia kifaa kimoja tu cha kusimamia.

Maendeleo yaliyofanyika kwenye LED yamewezesha kutupa uchaguzi mbalimbali linapokuja suala la mwanga wa taa. Taa nyingi za TIS LED zimewezesha kupangilia kirahisi kabisa mwanga wa kipekee katika migahawa, baa, migahawa midogo n.k. Taa zinazopungua mwanga zinasaidia kutengeneza mazingira mazuri ya kula chakula. Kutumia itifaki kutoka TIS ya kujiendesha ni rahisi kiasi kwamba mpangilio wowote wa taa unaweza kuwekwa kirahisi kabisa kuendana na muziki wa wakati huo.

solution smart restaurant

TIS technology imewezesha kuboresha usimamizi katika kitengo cha ukarimu pia. Kwa kutumia kitovu (hub) cha kusimamia, taarifa zote zinaweza kurekebishwa kwa kugusa/kubonyeza mara chache tu. Vitu vinafanyika kwa urahisi kwa mtu ambaye anafungua, kwa sababu anaweza kuweka mipangilio iliyowekwa kabla kwa ajili ya wakati wa kufungua, kama vile kuwasha taa zote, kurekebisha joto, na kucheza muziki vyote kwa kubonyeza sehemu moja. Wakati wa kufunga ni rahisi hivyo hivyo pia.

Teknolojia janja kutoka TIS pia inafanya kusimamia hali ya joto kuwa ni rahisi sana pia. Kuwa na vihisio elevu vya joto kunasaidia kusimamia mazingira ya ndani katika kila kona ili kila sehemu iwe na baridi/joto kama itakavyohitajika. Nyongeza, matumizi ya vihisio hivi vya joto kutaendana sawa sawa na sera zako za kuokoa nishati.

Muziki ni kigezo kingine ambacho wageni wanakiangalia punde tu baada ya kuingia katika sehemu inayofanya biashara ya chakula. Ina nafasi kubwa katika kutengeneza mandhali sahihi, na uzuri, kuna vifaa suluhishi vingi vya TIS A/V na spika janja vitakavyokuhakikishia uwiano mzuri wa sauti na muonekano.

solution smart restaurant

Kuunganisha taa na mifumo ya A/V kutabadilisha eneo lako la biashara kuwa sehemu pendwa wakati wa kutazama michezo, tamthilia, maonyesho, n.k.

Pia, ulinzi umeboreshwa na teknolojia janja. Vifaa suluhishi vya ulinzi kutoka TIS vinapatikana kwa ajili ya kutazama na kama mifumo ya kengele.

Usimamizi janja wa mapazia/vizuia jua dirishani ni faida nyingine ya kutumia teknolojia ya TIS katika migahawa, baa, migahawa midogo, n.k. Mfululizo huu wa vifaa hivi una sera za ufanisi katika matumizi ya umeme ambazo zinahitaji mwanga na joto la ndani liwekwe ili kutumia kiasi kidogo cha umeme kadri iwezekanavyo.

Mwisho wa siku, teknolojia haiwezi kuwa mbadala wa kinywaji au chakula kibaya, lakini inatengeneza kumbukumbu isiyosahaulika inayoendana na chakula kizuri. Inachoweza kufanya ni kuweka tofauti kwako – tena tofauti kubwa.

solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant
solution smart restaurant

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK