FIKIRIA MAMBO YOTE BIDHAA HIZI ZINAWEZA KUKUFANYIA! NI KILA KITU NDANI YA KIFAA KIMOJA TU!
TIS ADS CONTROLLERS zitakupa wewe uhuru na namna mpya ya kusimamia vifaa vyako vyote ndani ya nyumba yako.
ADS 2R & 3R AIR Dimmer & Switch Module (ADS)
Zinatumika KUWASHA/KUZIMA taa na vifaa vingine kuwasha vifaa vya kuzunguka (motors) ambavyo vitafungua na kufunga mapazia.
RELAY AMBAYO UNAWEZA KUIAMINI MUDA WOTE: KIFAA KIMOJA CHA KUENDESHA KILA KITU
Wewe unachotakiwa kufanya ni kuendesha na kuegesha tu. Unaiachia TIS kukufungulia milango kwa kutumia relay ya ADS
Kiwango cha mwanga safi kinachoendana na hisia zako. Punguza mwanga wa taa kadri unavyopendelea.
Pokea uwezo wa kusimamia vifaa vyako kutoka kwenye sehemu moja.
Muonekano huu wa rangi nyorororo unaletwa na mchanganyiko safi wa taa za RGBW.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
SIO TU SWICHI PEKEE; BALI PIA NI KIOKOA UMEME.
NYUMA YA MUONEKANO WAKE BORA, SWICHI HII YA TAA INAZUIA, KUTUNZA NA KUTAZAMA MATUMIZI YA UMEME KILA SIKU, WIKI, MWEZI NA MWAKA.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.
App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.
Je, unajisikia uvivu kuamka kuwasha taa na kufungua mapazia?
TIS inakurahisishia kazi.
Jambo lingine la furaha ambalo haukulitegemea: Bidhaa zote za TIS AIR zina saa ndani yake.
Ndiyo! Zina saa ndani yake, hii inamaanisha unaweza, kwa mfano, ukaweka mapazia yako yafunguke asubuhi na kujifunga usiku, au muda wowote utakaopenda.
Unaweza pia kuweka mpangilio ili taa zako ziwake na kuzima muda unaopendelea wewe, na mengine mengi!
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha