




To continue to TIS
Please enter email id
To continue to TIS
Please Enter Password
To reset your password, please enter the email address associated with your account. You will receive an email with a link to reset your password.
BIDHAA BORA NA JANJA KULIKO ZOTE INAYOFANYA KAZI KAMA RIMOTI KWA AJILI YA NYUMBA YAKO.
KIZAZI KIPYA CHA RIMOTI JANJA ZA KISASA KWA AJILI YA NYUMBA YAKO INAYOWEZESHWA NA IR EMITTER.
AIR-1IRE-T kwa kutumia sehemu moja ya kuchomeka ya infrared emitter na kihisio kimoja cha joto. Inatumika kimsingi kwa ajili ya kiyoyozi ili kuweza kuidhibiti na kuiangalia kwa kutumia app yetu, ambayo inakuwezesha kutazama na kutumia mahali popote.
Air 2IRE ina port 2 za infrared zinazotumika kwa ajili ya vifaa vya sinema za nyumbani na kusimamia vifaa 2 zenye chapa moja na uwezo wa port 2 za infrared vikitumwa na kifaa kimoja.
UPC 658921796436
EAN 0658921796436
BARCODE (UPC)
UPC 658921796443
EAN 0658921796443
BARCODE (UPC)
UPC 658921798737
EAN 0658921798737
BARCODE (UPC)
Simu yako janja inaweza kutumika kama rimoti pia.
Kwa kutumia uwezo wa IR emitter unaweza sasa kusimamia kiyoyozi chako kwa kutumia simu yako ya mkononi.
HAUHITAJI RIMOTI TENA NYUMBANI KWAKO.
KWA KUPITIA IR EMITTER UNAWEZA KUENDESHA VIFAA VYAKO VINGINE NA MIFUMO YA MUZIKI NA TV BILA KUWEPO KARIBU KWA KUTUMIA SIMU YAKO JANJA.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
SEMA HAPANA KWA BARIDI KALI KILA MUDA UNAPOKUWA UNAAMKA!
WEKA MIPANGILIO KATI MFUMO WAKO ILI UWEZE KUWEKA JOTO UNALOLIPENDELEA KWA MUDA WOWOTE MCHANA AU USIKU.
Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.
App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya taa zako za nje ziwake zenyewe kabla haujawasili.
Vitu vinavyoweza kufanywa na thermostat janja vinaweza kuokoa mpaka 50% ya matumizi yako ya umeme wa kawaida.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha