Piga na ugundue njia mpya ya kuunganishwa na kutembelea marafiki zako wanaoishi katika ghorofa.
TIS Outdoor intercom ni kwa ajili ya maghorofa.
OBERON Tower Intercom
Simu hii ya mlagoni inayotumia IP ni kwa ajili majengo au maghorofa yenye vyumba 10 mpaka 1000 ambavyo kifaa hiki kinaweza kupiga kwenda kwenye kifaa kingine cha Oberon kilichopo ndani ya kila chumba. Kifaa cha ndani ya chumba kinauwezo wa kupeleka simu hiyo moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi janja kwa kutumia app ya bure, hivyo inamaanisha unaweza kujibu hodi ukiwa popote pale. Kifaa kinachokaa nje kinakuja na sehemu ya kusomea kadi ya RF kwa ajili ya kudhibiti. Pia kuna kamera ya kidigitali inayoweza kuona usiku.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha