TUNAKULETEA AIR SOCKET AMBAYO INA UMUHIMU MKUBWA ZAIDI YA ZOTE.
AIR Power Socket
Chomeka TIS-AIR Socket kwenye taa yoyote ya mezani, feni, kipashio moto au kifaa kingine cha nyumbani na uweze kukiwasha kutoka popote ulipo. Inapatikana kama swichi ya kuwashia/kuzimia au kama socket ya kupunguzia mwanga wa taa. Hakuna haja ya gateway au nyongeza ya vifaa vingine. TIS Socket ni rahisi kutumiakwa kutumia simu yako janja au kwa panel nyingine na kioo cha kugusa.
INAWEZA KUENDESHWA KWA KUTUMIA WIFI KWA KUTUMIA APP YAKO KUWASHA VIFAA VINGINE VYA KAWAIDA AU KUVIZIMA.
OKOA NAFASI NDANI KWA VITU MUHIMU ZAIDI VINAVYOFAA.
ICHOMEKE POPOTE PALE.
FANYA UWEZEKANO WA KUREKEBISHA JOTO LA SEHEMU YOYOTE KUWA KIWANGO KILE UNACHOKIPENDELEA WEWE.
INA UMBALI MREFU NA INAUWEZO WA KUPOKEA VIFAA VYOTE PAMOJA NA KUKURUHUSU KUUNGANISHA NAYO NA KUKIWASHA BILA KUWEPO KARIBU.
Inachukua usukani! Inarahisisha asubuhi unapoamka, unaamka na kusikia harufu nzuri ya kahawa yako kila asubuhi.
USIWAZE KUHUSU KUSAHAU KUCHOMOA CHOMBO CHOCHOTE.
TUNA SULUHISHO LAKO.
UNAWEZA KUZIMA KIFAA CHOCHOTE BILA KUWEPO KARIBU.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
SIO TU SWICHI PEKEE; BALI PIA NI KIOKOA UMEME.
NYUMA YA MUONEKANO WAKE BORA, SWICHI HII YA TAA INAZUIA, KUTUNZA NA KUTAZAMA MATUMIZI YA UMEME KILA SIKU, WIKI, MWEZI NA MWAKA.
Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.
App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au vipashia joto vinaweza kuwekewa mipangilio ya kuwaka na kufikia joto unalolihitaji punde tu baada ya wewe kufika nyumbani.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha