Njia ya kisasa, rahisi na bora kuliko zote ya kuendesha mfumo wa kiyoyozi.
ONJA URAHISI NA MUONEKANO WA KIFAHARI.
SWICHI YA KUGUSA ISIYOHITAJI WAYA INAKUONYESHA KWELI UFAHARI ULIVYO.
Epuka usumbufu. Ukiwa na TIS Venera thermostat, unaweza kuweka ratiba ya kiyoyozi chako kuwaka kwa kila wiki au kila saa ili kukidhi mahitaji yako.
HAKUNA TENA KUHANGAIKA! RAHISI NA KIULAINI.
UNACHOTAKIWA KUFANYA TU NI KUUNGA WIFI YAKO KATIKA MTANDAO, NA UMEMALIZA.
MGUSO WA UPENDO HUU UMESHINIKIZWA NA TIS VENERA DIMMER.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
Badilisha joto kwa kugusa mara moja tu ukiwa na TIS Venera Thermostat.
Njia ya kisasa, rahisi na bora kuliko zote ya kusimamia mfumo wako wa kiyoyozi.
Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote.
Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.
Sio tu swichi ya kupunguza mwanga, lakini ni mita ya umemepia.
Nyuma ya muonekano huu wa kifahari, swichi hii ya kupunguzia mwanga, Inatuza, na kutazama matumizi yako ya umeme kila siku, wiki, mwezi na mwaka.
Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.
App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaofanya kiyoyozi chako kiwake na kuweka joto unalopendelea chenyewe kabla haujawasili.
Tumia thermostat janja kuweka mipangilio katika kiyoyozi chako ili kiwake pale tu utakapohitaji kutumia chumba tu: unaweza kuokoa mpaka 50% ya matumizi yako ya umeme wa kawaida.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha