LOGIN

FOR TRAINING CERTIFACTE

Please Enter Password

verifycode

Reset

Password

To reset your password, please enter the email address associated with your account. You will receive an email with a link to reset your password.

Bedside, Table side touch panel from TIS Automation Bedside, Table side touch panel from TIS Automation

Muda wa kulala unapendeza zaidi ukiwa na kifaa chetu cha LUNA pembeni ya kitanda chako.

Bedside panel inspired by Luna, TIS Automation Bedside panel inspired by Luna, TIS Automation

Leta mwanga mzuri usiku kukuongea starehe. Mlolongo huu wa vifaa vya LUNA key card ulishinikizwa uvumbuzi wake na mwezi.

Control your AC remotely by TIS automation apps Control your AC remotely by TIS automation apps

Endelea kuungana na marafiki zako kwa kupitia app ya simu ya TIS.

Unaweza kwa urahisi kuwasha kiyoyozi au kubadilisha kiwango cha joto kwa kubonyeza mara moja tu katika simu yako janja ya mkononi.

By single press go to bedtime mode bu TIS Luna smart panel By single press go to bedtime mode bu TIS Luna smart panel

Swichi hii imeshinikizwa na vumbuzi zetu za kila kitu ndani ya kifaa kimoja. Kivipi? Kwa kubonyeza kitufe kimoja tu cha kuwasha na kuzima, unaweza kuwasha na kuzima ta azote za ndani ya nyumba yako.

Hebu fikiria namna ilivyo rahisi kutohitajika kutazama swichi moja baada ya nyingine.

Voice order help you to amange your smart home by TIS Voice order help you to amange your smart home by TIS
Alexa, turn on the spot lights in Sophia's room.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Installed to relays, IR, WIFI and others – TIS smart home Installed to relays, IR, WIFI and others – TIS smart home

Saizi moja inatosha kila sehemu

Panel hii ya kugusa inatosha katika panel tofauti za aina 5.

Ni kipi tena kinaweza kukusisimua zaidi? Inaweza kuwa na waya au isitumie waya.

Night light switch – not just a smart panel Night light switch – not just a smart panel

Panel ambayo iko pembeni yako siku zote.

Njia rahisi ya kutumia swichi.

Smart home automation – TIS-AIR  TIS-BUS Smart home automation – TIS-AIR  TIS-BUS Smart home automation – TIS-AIR  TIS-BUS Smart home automation – TIS-AIR  TIS-BUS
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Smart design that install in any wall Smart design that install in any wall
Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote.

Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.

RGB backlit for Luna bedside-TIS RGB backlit for Luna bedside-TIS

Kama vile maua Rozi yanavyokuja katika rangi tofauti, vitufe vya panel zetu pia ni hivyo hivyo. Tazama mchanganyiko wa rangi tofauti ambao utaupenda.

Control your smart moods by ipad, TIS home automation Control your smart moods by ipad, TIS home automation

Je, unahitaji skrini kubwa zaidi? Pakua app kwenye iPad yako uweze kupata kwa mapana zaidi na uweze kusimamia nyumba yako.

GPS on apps for smart home. For controlling and saving energy depends on your location GPS on apps for smart home. For controlling and saving energy depends on your location
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaowasha kiyoyozi chako na kukuwekea joto unalolipenda moja kwa moja kabla haujawasili.

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK