LOGIN

FOR TRAINING CERTIFACTE

Please Enter Password

verifycode

Reset

Password

To reset your password, please enter the email address associated with your account. You will receive an email with a link to reset your password.

TIS Terre smart wall switch Series TIS Terre smart wall switch Series

Matokeo makubwa huwa yanatokea kwenye vitu vidogo.

TIS inakuletea kwako TERRE SERIES ambayo zinakuja katika aina 3:

TERRE MUSIC, TERRE 4 GANG LIGHT SWITCH, TERRE AC

Select any color for your buttons – TIS terre Select any color for your buttons – TIS terre

Bidhaa bora zinakuja katika miundo yote.

Vifaa vya kwenye mlolongo wa Terre vinakazi zaidi ya moja. Vinaweza kutumika kama swichi, kwa ajili ya sockets na pia kama skrini ya kugusa na kidole.

USB=- Unvirsal plug, TV, RG45, TEL Sockets – TIS Terre USB=- Unvirsal plug, TV, RG45, TEL Sockets – TIS Terre

Bidhaa bora zinakuja katika miundo yote.

Vifaa vya kwenye mlolongo wa Terre vinakazi zaidi ya moja. Vinaweza kutumika kama swichi, kwa ajili ya sockets na pia kama skrini ya kugusa na kidole.

Inspired by Earth- TIS Terre Series Inspired by Earth- TIS Terre Series

Tunakuletea uzuri wa mazingira asili ya dunia nyumbani kwako.

Mifuniko ya juu ya vifaa vya kwenye mlolongo wa Terre imeshinikizwa na Dunia.

Control stable with wired automation Control stable with wired automation Control stable with wired automation Control stable with wired automation
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

Tere thermostat small and smart – TIS Tere thermostat small and smart – TIS

Kusimamia joto la ndani kupo karibu yako.

Terre AC thermostat inasimamia joto la kiyoyozi chako nyumbani.

Control your music from terre wall keypad - TIS Control your music from terre wall keypad - TIS

Acha muziki uendelee kucheza ukiwa na TIS SMARTHOME.

Tunaleta kwako Terre Audio music.

Control your music by voice command – TIS Control your music by voice command – TIS
Alexa, play music in the gym.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Smart wall touch panel – Terre series from TIS control Smart wall touch panel – Terre series from TIS control

Ndogo lakini inakaa kwa ufahari. Kamwe hatupunguzi uzuri wa muonekano hata kama bidhaa ina umbo dogo.

Mlolongo wa Terre unakuja na rangi tofauti tofauti na aina tofauti pia za namna mfuniko wa juu ulivyomaliziwa ambayo itafanya ikae na kupendeza katika mazingira yoyote ya ndani.

Terre technology – TIS Home automation Terre technology – TIS Home automation

Kinatosha sehemu zote.

Kila kitu unachokihitaji ndani ya kifaa kimoja.

Panel inakuja katika aina 5 tofauti ili kutumika na aina yoyote ya chanzo cha umeme.

Tafadhali chagua bidhaa

  • TER-4G
  • TER-4G-A
  • TER-ACT
  • TER-ACT-A
  • TER-AUD
  • TER-AUD-A
TIS Terre 4 gangs

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK