TIS branch in Turkey, Antalya opening

Nyumba ya Kijanja Sasa ndani ya Antalya; TIS Imefungua Tawi ndani ya Uturuki.

TIS imefungua tawi mjini Antalya, Uturuki.

Tawi jipya la TIS mjini Antalya litasaidia kuongeza kipato katika utalii kwa kuboresha sekta ya ukarimu. Kufanya Uturuki kuwa nchi elevu na yenye ufanisi katika matumizi ya nishati ni moja ya lengo letu. Tawi jipya litasaitia shirika la TIS group kukidhi mahitaji makubwa ya vifaa janja yanayozidi kuongezeka . “Maisha ya kijanja kwa kila mtu” ni msingi wa kila tunachokitengeneza na kukizindua sokoni, Afisa Mtendaji Mkuu wa TIS alisema.

Kufuata sera za serikali ya Uturuki za viwanda na zilizo rafiki kwa mazingira pamoja na kutafuta msaada wao ni kipaumbele cha TIS Automation Group na wawakilishi wake.

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK