TIS offers new technology at Dubai IPS Expo in UAE

TIS ilizindua bidhaa tatu mpya za hoteli ya kijanja katika IPS 2017

International Property Show (IPS) ni jukwaa la ndani na kimataifa ambalo linavutia chapa nyingi kutoka maeneo yote ya dunia kuja Dubai kuonyesha teknolojia zao mpya.

TIS ilikutana na IPS mnamo mwezi Machi 2017 ili kuonyesha toleo lake la bidhaa za Luna hotel.

TIS Website Image

Panel za TIS Luna Hotel ni mfululizo wa bidhaa suluhishi za kijanja zilizotengenezwa kwa ajili ya vyumba vya hoteli ili kuboresha GRMS na kuongeza starehe ya mteja. Bidhaa hii inakuwa na Kengele ya Nje ya Hoteli, Kadi ya Hoteli/MUR, Panel ya Huduma za DND na Panel ya TIS Luna Bedside na inakuwa na teknolojia za kibunifu katika upande wa taa, joto, mandhari, ulinzi na kuunganishwa na A/V. 

Bidhaa hii pia inafanya usimamizi wa hoteli kuwa rahisi zaidi kwa sababu kila kifaa kinaweza kuunganishwa na meza ya usimamizi ya hoteli na kuonyesha jambo ambalo mgeni anahitaji kwa mpokeaji na wafanyakazi wa hotelini.

TIS Website Image

Ilikuwa ni heshima kubwa kuwa na uwakilishi wa baadhi ya makundi ya utengenezaji yanayojulikana vizuri sana UAE kama vile AZIZI, Emaar, Dubai Properties, DAMAC, na Nakhil kuonyesha kuvutiwa na stendi ya TIS iliyoandaliwa na Msambazaji wa TIS ndani ya UAE, Smart Living Electronics. Pia tulikuwa na wageni wengi kutoka Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Ras Al-Khema, Al-Fujairah baina ya watu wengi waliokuja kutoka maeneo mbalimbali ya dunia. TIS Automation Group ilitegemea kuanzisha mazungumzo na wageni na kutambulisha kizazi kipya cha nyumba za kijanja ndani ya Mashariki ya Kati. 

Sasa wafanyabiashara wa UAE wana nafasi ya kung’arisha biashara zao katika sekta ya mapokezi na kuonekana juu ya wengine na kutazama mbele kisha kubadilika. Na hiyo ndiyo sababu ilikuwa ni furaha kubwa kwa TIS Automation Group kuwa sehemu ya walioshiriki. 

Keywords: nyumba ya kijanja, mfumo wa GRMS, nyumba ya mustarehe, hoteli ya kijanja

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

We use cookies to personalize content, customize and analyze advertising and ensure the safe use of the site. By clicking or navigating this site, you consent to the collection of information at www.tiscontrol.com and beyond using cookies. More information are available in the document: Sera ya Faragha

OK