TIS dealer in Portugal DICA, participated in Porto Exhibition

Ipo ili kutanua uwezo wa mteja kuwa na nyumba inayojisimamia, TIS ilionyesha kihisio elevu cha intelligent tempo sensor katika maonyesho ya Brico Marche 2019 mjini Porto

Kihisio kipya kutoka TIS cha 4T kilitambulishwa rasmi na wasambazaji wa Ureno DICA katika Maonyesho ya Porto.

Kihisio cha 4 Temperature Sensor ni kifaa kipya kilichotengenezwa na TIS kinachoboresha usimamizi wa joto na kuwezesha kusimamia hali ya hewa ya ndani nyumbani kwa kutumia simu ya mkononi. Kifaa hiki suluhishi kinaambatana na 1000p sensor, na thermal probe 4 ili kuweza kuangalia eneo kubwa lenye vyumba vingi. Kihisio cha 4T kinatolewa kwa watumiaji wa Android na IOS ili kuweza kusimamia bwawa pamoja na vyumba vya spa kidigitali bila haja ya kuwepo.

wageni kutoka Porto, Lisbon, Vila Nova de Gaia, Braga, Amadora, Queluz, Funchal, Coimbra, Setúbal, Agualva-Cacém, Almada, Rio Tinto, Aveiro, Viseu, Odivelas, Leiria, Guimarães, Barreiro, Évora, Faro, Portimão na Ponta Delgada walishawishiwa kuchukua muelekeo wa kijanja na rafiki kwa mazingira zaidi katika kusimamia hali ya hewa majumbani mwao. Kihisio cha 4T kutoka TIS kimetengenezwa kwa namna bora kabisa ya kutumia umeme kwa ufanisi na kuruhusu mipangilio tofauti tofauti katika vyumba tofauti.

Kama washirika wetu DICA Portugal group walivyoonyesha katika banda la vifaa vya nyumbani vya kijanja kutoka TIS vinavyofanya kazi mbalimbali kama vikiunganishwa na mifumo mingine ya nyumbani.

TIS Automation Group ilitaka kujenga imani kwa wageni waweze kuamini kwamba hata mawazo madogo yanaweza kufanya mabadiliko makubwa kama uadilifu na ndoto ya kutunza sayari yetu vikipewa vipaumbele katika maendeleo ya kidigitali. 

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK