LOGIN

FOR TRAINING CERTIFACTE

Please Enter Password

verifycode

Reset

Password

To reset your password, please enter the email address associated with your account. You will receive an email with a link to reset your password.

Luna TFT – touch panel by TIS smart home Luna TFT – touch panel by TIS smart home

Utaipenda mara baada ya kuigusa kwa mara ya kwanza, Tunakuletea panel ya LUNA TFT.

Inapatikana katika rangi ya kifahari nyeupe na nyeusi.

Luna TFT insoered by Moon , TIS Automation Luna TFT insoered by Moon , TIS Automation

Mlolongo wa bidhaa za Luna ulishinikizwa na mwezi

Control lights, AC, Music, curtain, security, weather, floor heater from one TIS panel

Ina vitufe 4 kwa ajili ya kuchagua katika menyu, unaweza kwa urahisi kusimamia taa, mapazia, muziki, kengere za ulinzi na zaidi.

Luna TFT can change its background color- TIS smart home Luna TFT can change its background color- TIS smart home

Inakuruhusu kuibadilishia muonekano.

Unaweza kubadilisha muonekano wake pamoja na mpangilio wa rangi.

Furahia kwa kugusa tu.

Luna TFT work as night light in dark room - TIS Luna TFT work as night light in dark room - TIS

Swichi unayoweza kuiona gizani.

Furahia uzuri na mng’ao wa kioo chenye mwanga wa LED kinachong’aa ili uweze kukiona kwa urahisi wakati wa giza na uepuke kusumbuka kuitafuta.

Control your floor heating  by smart home apps. TIS Automatin Control your floor heating  by smart home apps. TIS Automatin

Hautakuwa mbali tena na nyumbani, kwa sababu TIS kwa kutumia vifaa na app zake itakupa taarifa zote za nini kinaendelea nyumbani kwako hata kama haupo.

Kwa kupitia app ya TIS unaweza kuwasha na kusimamia kila kitu ndani ya nyumba yako bila ya haja ya kuwepo.

Send Infrared, Curtain, FCU Control and more from one panel Send Infrared, Curtain, FCU Control and more from one panel

Saizi moja inatosha kila sehemu

Panel hii ya kugusa inatosha katika panel tofauti za aina 5.

Ni kipi tena kinaweza kukusisimua zaidi? Inaweza kuwa na waya au isitumie waya

Voice command interactive with TIS smart home Voice command interactive with TIS smart home
Alexa, turn on the spot lights in Sophia's room.

ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.

Fit all type of worldwide junction box Fit all type of worldwide junction box

Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote.

Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.

Luna TFT in Smart home by TIS Luna TFT in Smart home by TIS Luna TFT in Smart home by TIS Luna TFT in Smart home by TIS
MAMBO YANAYOWEZEKANA YANAONGEZEKA ZAIDI KILA SIKU UKIWA NA TIS.

Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!

TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.

Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.

Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.

TIS Luna TFT is a security console also TIS Luna TFT is a security console also

MLINZI WAKO WA UKWELI KUKUPATIA ULINZI.

Wakati umetoka, WEZI wanawinda mtu wa kumuibia.

USALAMA ni jambo ambalo limekuwa la kipaumbele cha TIS katika kukulinda wewe na nyumba yako. Na ndio maana tukatengeneza panel ya Luna ambayo inafanya kazi kwa ajili ya usalama na ulinzi wako.

TIS Luna TFT is a baby monitor also with buzzer alert and messages function TIS Luna TFT is a baby monitor also with buzzer alert and messages function

Salama na kwa Utulivu. Unaweza kutazama usalama wa mtoto wako pia.

Mfumo wetu umetengenezwa maalumu kukutaarifu wewe kama kuna hatari ya moto, maji kuvuja na vingine vingi zaidi. Pale ambapo usalama ni chaguo lako la kwaza, basi chagua TIS.

Control your home by TIS smart apps Control your home by TIS smart apps

Tengeneza hisia kwa kubadilisha rangi.

Kwa kutumia app yetu ya TIS, unaweza kuchagua rangi kwa urahisi itakayoendana na hisia zako.

your AC set to cool before arrive home- TIS smart apps your AC set to cool before arrive home- TIS smart apps
Teknolojia ya Geo-Fencing

Simamia nyumba yako kwa kupitia app ya kisasa iliyotengenezwa Ili kufanya kila kitu kiwe na ufanisi na rahisi kutumia.

App yako itafanya kazi kwa kuangalia eneo ulilopo. Itaweka mpangilio wa kuhifadhi umeme wakati upo mbali, au unaweza kuweka mpangilio utakaowasha kipasha joto kwenye sakafu yako na kukuwekea joto unalolipenda moja kwa moja kabla haujawasili.

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK