Uso mpya wa TIS: Swichi zetu za vitufe vya kubonyeza zinakuja katika rangi tofauti tofauti.
Tunakuletea swichi za Mars kutoka TIS za vitufe vya kubonyeza.
Zinakuja katika 4gang, 8 gang, 10gang, and 12gang pamoja na AC thermostat.
Mlolongo wa swichi zetu za Mars unapatikana kwa rangi Nyeusi, Nyeupe, rangi ya shampeni, Shaba, Weusi wa mkaa, Titani, na rangi ya Fedha iliyopauka. Rangi pia unaweza kuchagua nyingine kwa mapendeleo yako binafsi.
Mars 10Gang yenye Thermostat (MRS-ACG10G) ina vitufe 10+2, na skrini ya OLED ya inchi 1, pamoja na kihisio joto kilicho ndani yake yote ili kukupa kileosura bora na kukuwezesha kusimamia taa, hali ya hewa, motors, hisia na muziki. Pia itakukumbusha na kukuonyesha taarifa mbalimbali.
Swichi za Mars zenye vitufe 12, 8 na 4 zinakuwa na LED za rangi 2 katika kila kitufe. Panel hizi zina uwezo wa kupokea IR, ambayo inaweza kupokea taarifa kutoka kwenye rimoti za mkononi za TIS-MRC ili kuwasha taa, motors na hisia.
Mduara wa rangi ya dhahabu katika panel hii ulishinikizwa na Mars.
Vitufe vinavyowasha taa vinang’aa kwenye giza, hivyo unaweza kuviona hata usiku.
Inatosha POPOTE, KWA NAMNA YOYOTE, katika AINA ZA VIWANGO vyote. Itakaa vyema kabisa ndani ya nyumba yako.
ONGEA TU! TUNAUNGANISHWA, NA TUNAENDELEA KUBAKI TUMEUNGANISHWA.
Vifaa vyenye waya kwenda kwenye kutokuwa na waya au kinyume chake? Ndiyo!
TIS inaendelea kuvumbua bidhaa zetu.
Vyote vinaweza kuunganishwa na kufanya kazi kwa pamoja.
Kwa mfano, swichi ya taa inayoweza kuwashwa bila wewe kuwepo inaweza kuunganishwa na kubadilishwa ikafanya kazi na vifaa vya waya vya TIS Bus.
Endelea kuunganishwa na nyumba yako kwa kupitia app ya simu ya TIS. Itakukusaidia kuwa karibu zaidi kwa kukupatia njia rahisi ya kusimamia nyumba yako.
Bidhaa inayotosha pote.
Kila kitu unachokihitaji. Aina zote ndani ya kimoja.
Panel inakuja katika aina 5 tofauti na inakaa na kutosha kila kitu katika swichi hii ya MARS ya vitufe vya kubonyeza
Chagua kati ya rangi za kisasa itakayoendana na chaguo lako.
Furahia muonekano uliotengenezwa vyema kabisa.
Kamwe hatuishiwi na staili. Rangi hizo nzuri za kifahari zina uwezo wa kuendana na aina yoyote ya ukuta.
Inakaa vizuri na mazingira yoyote ya ndani.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha