Weka mazingira ya kupendeza ndani ya nyumba yako.
TIS Tubular Motor hakika itakuacha mdomo wazi. Hata mapazia yako yanaweza kuendeshwa na vifaa hivi.
Usimamiaji wa Roller/Blinds na shades
Weka mota katika aina zote za vitu vinavyofunika madirisha yako ya ndani kwa kutumia mota za TIS. Vifunika madirisha kama vile roller au roman/woven shades, blinds zilizolala, sheer na mapazia.
Bonyeza mara moja tu kufunua blinds kwa kiwango unachotaka
Tunatoa vifaa vidogo pia kwa ajili ya blinds zako.
Siku zote ni bora kufanya biashara na TIS kwa kuwa utapata kila kitu unachokihitaji.
Je, unajisikia uvivu kuamka kuwasha taa na kufungua mapazia?
TIS inakurahisishia kazi.
Jambo lingine la furaha ambalo haukulitegemea: Bidhaa zote za TIS AIR zina saa ndani yake.
Ndiyo! Zina saa ndani yake, hii inamaanisha unaweza, kwa mfano, ukaweka mapazia yako yafunguke asubuhi na kujifunga usiku, au muda wowote utakaopenda.
Unaweza pia kuweka mpangilio ili taa zako ziwake na kuzima muda unaopendelea wewe, na mengine mengi!
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha