Je, unahitaji kujua hali ya hewa itakavyokuwa? Chukua kifaa hiki cha kutabiri hali ya hewa. TIS weather station inauwezo wa kukupa utabiri wa mvua na uelekeo wa upepo na ina kihisio cha joto la nje, mita na saa.
Kifaa hiki kinachokusanya taarifa zinazohusiana na hali ya hewa pamoja na mazingira kinaweza kuwa ni kipima joto kwa ajili ya kuchukua joto la mazingira na barometa kwa ajili ya kupima mgandamizo wa hewa, pamoja na vihisio vya kupima mvua, upepo, unyevu na zaidi.
Vitu unavyovipenda vitaagaliwa na kulindwa.
Kuwa na busara na uchukue TIS weather station. Linda biashara yako isiathiriwe na mabadiliko ya hali ya hewa yasiyotabirika.
Ina ufanisi, gharama nafuu na ni rafiki kwa mazingira.
Inakusaidia kutazama hali ya hewa. Kwa mfano, kifaa hiki kinauwezo wa kugundua mvua ikianza kunyesha na hivyo kufunga channel za maji na kukupunguzia gharama na kusaidia mazingira kwa kutumia raslimali asili.
Mazingira ya ndani ni salama kwetu, kwa sababu kifaa kitafunga shutters chenyewe moja kwa moja pale upepo mkali utakapogundulika.
Ni bora kuliko vinavyozuia mwanga wa jua, linda ngozi yako isiathiriwe na miale ya ultraviolet kutoka kwenye jua.
Ina uwezo wa kugundua UV kutoka kwenye jua na kukupa mwongozo kama utoke nje au usitoke.
Epuka ukuaji wa fangasi wanaotokea kukiwa na majimaji, na mazingira ya joto.
Tazama hali ya unyevu nyumbani kwako na ujilinde dhidi ya bakteria.
Muundo wa TIS weather station.
“Kuwa macho, kuwa salama”
TIS weather station itakupa taadhari kwa vitu kama kukiwa na baridi kali ya kugandisha.
Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha