TIS in IndobuildTech expo, Jakarta, Indonesia

Toleo Jipya la Bidhaa za Kijanja; TIS Ilionyesha ES Sensor ili Kufanya Misikiti Kujiendesha

TIS Automation Group ilitembelea Indonesia ili kuwakilisha teknolojia yake mpya kwa ajili ya nyumba ya kijanja ikiwemo kihisio cha Energy Servant kilichotengenezwa ili kutumia nishati kwa ufanisi. Kifaa hiki suluhishi kilitambulishwa katika onyesho la IndobuildTech, ambalo lilifanyika mnamo Machi, 2019 huko Jakarta mbele ya mamia ya wachora ramani za majengo, wabunifu wa ndani, wajenzi wa majengo, wauzaji n.k.

TIS ilionyesha kihisio chake cha Energy sevant kilichofanikiwa kushinda tuzo ya Edison kilichotengenezwa kufanya kazi 10 na kutengenezwa na kihisio cha mwendo cha PIR ndani, kihisio cha kuvuna mwanga, relays output, digital input, kihisio cha joto, infrared emitter, na 32 logic na saa na uwezo mkubwa wa kuhakikisha kuna ufanisi mkubwa zaidi katika matumizi ya nishati.

Msambazaji wetu rasmi, PT. Aces Digital Multitrada alizindua kihisio cha ES 10F katika maonyesho haya na kutoa taarifa juu ya miradi maalumu ya TIS ya kuendeleza mbele sera za kuokoa nishati katika misikiti na maeneo mengine ya kuabudu. Kihisio cha ES kinaweza kutumika kufanya Kiyoyozi kujisimamia na taa pia kwa kulinganisha imani ya mtumiaji; suluhisho hili lina muda wa kujiendesha na ina uwezo wa kugundua muda wa maombi ya Muislamu katika kipindi tofauti cha masika na katika maeneo ya kijiografia na kurekebisha umeme wa kijij.

TIS Automation Group inatarajia kuchangia katika hatua za kuifanya dunia ya kuwa kijani kwa msaada wa watu wengine katika sekta hii ya smart tenoloji

TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image
TIS Website News Image

Tunatumia kuki kubinafsisha yaliyomo, kubinafsisha na kuchanganua utangazaji na kuhakikisha matumizi salama ya tovuti. Kwa kubofya au kutembelea tovuti hii, unakubali ukusanyaji wa taarifa kwenye www.tiscontrol.com na zaidi kwa kutumia kuki. Maelezo zaidi yanapatikana kwenye hati: Sera ya Faragha

OK